Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Kamwee usimdharau usyemjua....
Bwana wake /wako hujui anatumia id gani humu kama hata unaijua.....
Kuna wimbi la multiple ID kama sio bwana wako huwezi jua aliyekupitia ni C.T.U....

wewe inakuhusu nini kama anatumia id ingne?watu wengne bwana:shut-mouth::shut-mouth:
 
Shule bwana.....
Nimeipenda attitude yako... halafu mkikosa kazi mnasema mmerogwa...
Mtabaki ma joble.... mpaka viatu viote sugu

kinachokuhusu nini?kashauri clan yako,achana na sisi wewe,alafu kati ya ww na sisi wewe ndio jobless,maana unashindia kuponda wana CC wakati huo muda ungekua ushapiga deal nyingi za hela,naomba nikuulize kitu,huku chitchat umeitwa?kwani hakuna majukwaa mengine?au wewe ndio kiranja humu?alafu unawaita wenzio kina dogo na inawezekana umetuzidi kiumbo ila mdogo kiakili,ndio walewale mna maujanja machache afu maujinga vifurushi..kafie tandahimba hukooooo usituchafulie hewa CC haikuhusu hata kidogooo:mimba::mimba::mimba:
 
C.T.U you're Fu**king Right .....and Savvy!!




!!!
 
sijmabo my dear! nipo aga khan kwenye foleni ya kupata chanjo dhidi ya virus wa chit chat! mzima ww?? nikuwahie number?
Mi mzima mpenzi wangu mbali ya kuwa kuna virus vinatubana. Niwahie mwaya naja sasa hivi!
 
Mi mzima mpenzi wangu mbali ya kuwa kuna virus vinatubana. Niwahie mwaya naja sasa hivi!
umepata number 65, kumbe hata mzungumndali yupo kwenye chanjo, kapata number 6. kweli kirusi hakichagui!
 
Last edited by a moderator:
mi nimepata ya sindano, matone, vidonge na vijiti! nna hakika havitanigusa kabisaaaaaaaaaaaaaaa! vishindwe virusi vyote na ma-agents wake. watuwacheeeeee tupumuweeeee!!

..hiyo hiyo ya sindano inatosha....
 
mi nimepata ya sindano, matone, vidonge na vijiti! nna hakika havitanigusa kabisaaaaaaaaaaaaaaa! vishindwe virusi vyote na ma-agents wake. watuwacheeeeee tupumuweeeee!!


huko hawatakuacha upumue mamitooo njoo pande hiiiii kuna asali na mathiwa
 
Back
Top Bottom