Chilli
JF-Expert Member
- Jul 17, 2011
- 1,655
- 746
Niko likizo narudi naarudi mwezi wa pili tarehe 4 kazini
Huko kazini inaonesha wamepumua kutokuwepo kwako. Maana una majungu kama waimba taarab.
Niko likizo narudi naarudi mwezi wa pili tarehe 4 kazini
Huyo anayesrma sijitambui muulize yeye anayejitambua katendwa na wanaume wangapi... mpaka sasa hivi?
Unaona story zako, yaani huna tofauti na bi mkubwa H. Kopa. Umekaa kimbea mbea tu. Hovyooo!
Kwanini aje alete haya wakati virusi vishaondolewa mbona hakusema mapema........
na kama hawezi kuwataja hayo maneno ya nini hapa!!!!!!
si angekaa nayo huko huko ptuuuuuuuu.......
Kwanini aje alete haya wakati virusi vishaondolewa mbona hakusema mapema........
na kama hawezi kuwataja hayo maneno ya nini hapa!!!!!!
si angekaa nayo huko huko ptuuuuuuuu.......
Huyu naye ni kirusi huyu C.T.U
Mkuu Evelyn Salt huyu jamaa namchukia na kumdharau sana, halafu jinsi anavyojitahidi kuandika hizi pumba zake anataka aaminike. Hakuna siku nimemdharau kama siku aliposema CC ni kijiwe cha majobless. Siwezi muacha hivi hivi huyu jamaa.
Acha mambo zako wewe, if ur man enough just stand up on your guts and speak out sio kutuletea mambo za kizamani. Umekua kuwaje asee! Taja majina acha ngonjera.
Ni usengerema mwingi tu!!!
mara wanacc majobless, mara nini mara maharage ya mbeya mara u are against CC
sijui huwa unaijia nini hapa kama u are against it....
mara mademu wa CC wana nini, hakuna anaetafuta bwana hapa ni burudani tu......
Mkuu kila ninachopost hapa napost kwa kufuata sheria za jf..
Kumtaja member moja kwa moja na kumshutumu ni kosa ....
Sijawa vyovyote basi tu unajishtukia...
Na suala la kuniita mie na kuniask kama nimwanaume ni speak out...
Ungeanza wewe kujipambanua na kuacha kutumia id humu...
Tumia jina lako halisi uwe verified tufuate mfano wako
Maana mfano wako naufananisha kisa cha changudoa kumfunda mtoto wa kike wa dada yake ambaye ni malaya
Huko kazini inaonesha wamepumua kutokuwepo kwako. Maana una majungu kama waimba taarab.
Usengerema ndio nini?
Anyway hivi mtu akija kusema sisi watanzania ni mambumbumbu utakasirika?
Huwezi kukasirika iwapo ukiamini sio mbumbumbu
Kwanini ukasirike kama wewe ni msomi na unajijua kabisa sio mbumbumbu....
Una masters zako kwanini ukasirike...
Ila kama huna elimu yeyote ni dhahiri utakasirika kwa sababu ni ukweli...
Kuna ile dhana isemayo ukweli unauma....
Kama zile post zangu za maharage ya mbeya nakumbuka kabisa nilikuwa nasema baadhi, na wengi wao haya maneno mawili yanaeleza kuwa kuna baadhi sio...
Sasa kwani j u akasirika?
Hapa mimi nashindwa kuelewa
Mimi kisa chako nakifananisha na mtu anayejitia kidole kwenye makalio na kunusa ili ajue harufu ya kinyesi. Yaani mnaboa mbaya wewe na crew yako dhalimu.