Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Huu ushauri ushindwe katika jina la yesu!!!!
The secretary bora uje tumshee Slave ukihitaji mme......

Kamwee usimdharau usyemjua....
Bwana wake /wako hujui anatumia id gani humu kama hata unaijua.....
Kuna wimbi la multiple ID kama sio bwana wako huwezi jua aliyekupitia ni C.T.U....
 
Last edited by a moderator:
Kamwee usimdharau usyemjua....
Bwana wake /wako hujui anatumia id gani humu kama hata unaijua.....
Kuna wimbi la multiple ID kama sio bwana wako huwezi jua aliyekupitia ni C.T.U....

Ungelijua hilo usingekuwa unakuja hapa kuongea u.pu.pu kwa watu usowajua!!!!
 
Huyo anayesrma sijitambui muulize yeye anayejitambua katendwa na wanaume wangapi... mpaka sasa hivi?

sijawahi kutendwa wala kumtenda mtu maishani mwangu nina mwanaume bwana najivunia kuwa naye.
 
sijawahi kutendwa wala kumtenda mtu maishani mwangu nina mwanaume bwana najivunia kuwa naye.

Kakuoa?
Kama kakuoa sina tatizo na wewe
Kama hajakuoa
Unajivunia kuwa na bwana ambaye hajakuoa?
Unajitambua?
 
Hahahah!!!! duh kweli ni SISI WEREVU pekee ndio tutayashinda haya....

Rule numero uno: Usimakinike sana na kinachoandikwa wala kuzungumziwa hapa Chitchat, ikiwepo na thread hii.

Rule number two: Ukiwa hapa Chitchat wafanye watu wote ni marafiki wa muda tu, akiwemo hata C.T.U.

Rule number three: Ukiwa Chitchat usimwamini mtu yoyote zaidi ya "keyboard" yako, maana hapa hakuna uhalisia.

watu8 anawapenda friends wote ukiwemo wewe C.T.U , my slogan will stand to be true ever and ever

Dats watsup! Nalindwa na kuiamni rule no 3 ndo maana natoboa.
 
nimeshasema siwezi kumsema kwani nitakuwa ninavunja sheria ya jf kitu ambacho siwezi kukifanya

Acha mambo zako wewe, if ur man enough just stand up on your guts and speak out sio kutuletea mambo za kizamani. Umekua kuwaje asee! Taja majina acha ngonjera.
 
watu wangu walikuwapo huko kwenye whiteparty na waliniwakilisha na mchango watu wangu walichangia

Wewe na hao watu wako mtuondolee jasho hapa ndani, nendeni mkatafute sehemu pa kuongea Utumbo wenu huu.
Infact, I dont trust even a single word from u and your crew.
 
za kwangu nzuriiii mkuu, waliniletea baraa kule kwenye PM hadi nikala kona , nikaona mbona hii balaaa CC yenyewe hatujuani yanini kutoka povu

Kuna siku boya flani alijifanya kunijia PM mbona alikimbia yeye? Hakuna ban kule.
 
----- upi nilioongea na naomba unambie kwanini ni upupi?

Ni usengerema mwingi tu!!!
mara wanacc majobless, mara nini mara maharage ya mbeya mara u are against CC
sijui huwa unaijia nini hapa kama u are against it....
mara mademu wa CC wana nini, hakuna anaetafuta bwana hapa ni burudani tu......
 
Back
Top Bottom