Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

The secretary umepata mume au bado?
images.jpg
​


God is watching us.siwezi kutoa hitimisho nilifanikiwa kusoma psychology ndo maana watu humu hawanipi shida ya kumtambua mtu mapema na namshukuru Mungu kunipa utashi huo tangu awali niligundua la mtu member wa chit chat kuja na ID mpya na kutukana wanachit chat nilipomtambua nikaweka distance na ni kabla ya kuja kwa marry, kinachonipa nguvu ni kuwa naweza kuishi na aina yote ya watu kikubwa zaidi ni kutoona faida ya unafiki wa mtu.CHIT CHAT FOREVER
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mshikemshike wa mzungupori,za kwako bro?

Chimbuvu my brother upooooooooo? jumapili humu palikua hapatoshi nikaamua hata ku tun of PM humu kuna watu wamesha fanya maisha halisi kumbe ni zugaaaaaaa .. Habari za kazi
 
Last edited by a moderator:
Sawa,we are waiting waraka mwingine ila hatutaki siasa kama za zito,alidai atawataja wenye mabilioni uswisi,akaenda hadi uswisi,kurudi akasema atatoa tamko,ghafla akasaema hatawataja,thats why i hate politics ni mchezo mchafu na ndio C.T.U anataka kuleta.

Chimbuvu Cool down kidogo.... C.T.U Twa usubiri waraka namba mbili.... Kabla ya Tamko rasmi...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahha hahaha mtu anatamani akutafune mzimamzima,by the time napigwa ban jumamosi till j2 nilisafiri kidogo.ndo maana sikuwapo online mara nyingi


za kwangu nzuriiii mkuu, waliniletea baraa kule kwenye PM hadi nikala kona , nikaona mbona hii balaaa CC yenyewe hatujuani yanini kutoka povu
 
mie, nilikua nachungulia tu kwa mbalii mie ndio najiandaa kwenda Tanga Japo naona maluweluwe tu


Hahahahahha hahaha mtu anatamani akutafune mzimamzima,by the time napigwa ban jumamosi till j2 nilisafiri kidogo.ndo maana sikuwapo online mara nyingi
 
Kuna msemo mmoja hutumiwa sana na Field Marshals, wao husema "Huwezi pigana na adui usiyemuona"....sasa mada kama hizi ni moja ya VITA ambavyo ADUI haonekani ingawa yupo miongoni. Binafsi huwa sipo JF kulumbana na raia yoyote na ndio maana makitu ka haya huwa nayapotezea haraka mno...Hivyo best eenh, unaonaje tuipotezee tu!!!

Hivi mtu kuwa against na cc inasaidia nini?i think ni ubogus wa hali ya juu.
He he amu naingia humu kucheka tu mtaani stress,mabos wakupe stress mchumba akupe stress hata humu wasiokujua wakupe stress nyie tajaneni tu ila mi ni kucheka tu naangalia movie tu.
watu8 uje best huku
 
Last edited by a moderator:
Slogan yangu inazungumza mengi sana ikiwemo na huu mfano ulioutoa hapa mkuu, kwa members tuliokutana wanaweza kuniunga mkono kwa hili.
Jambo muhimu ni kutokumdharau mtu ambaye hata hujawahi kumuona na hata hujui anafanya nini zaidi ya kuona tu maandishi yake hapa online....kuna watu wanatengeneza FWEZA kwa kushinda mbele ya kompyuta siku nzima...

slogan yako yaweza kukuweka salama lakini hutapata faida na JF kamwe watu8 ... Nimeshafanya biashara na members wengi pasipo kuonana hata sura. Uaminifu ni kitu muhimu
 
Sawa,we are waiting waraka mwingine ila hatutaki siasa kama za zito,alidai atawataja wenye mabilioni uswisi,akaenda hadi uswisi,kurudi akasema atatoa tamko,ghafla akasaema hatawataja,thats why i hate politics ni mchezo mchafu na ndio C.T.U anataka kuleta.

Yaani kama petro hivi akiwaandikia waefeso.... subiri muone
 
Wacha mie nijipe raha humu maneno yao siyo sumu hayanipi pressure sijiweki roho juu.
 
Back
Top Bottom