Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Hahahah!!!! duh kweli ni SISI WEREVU pekee ndio tutayashinda haya....

Rule numero uno: Usimakinike sana na kinachoandikwa wala kuzungumziwa hapa Chitchat, ikiwepo na thread hii.

Rule number two: Ukiwa hapa Chitchat wafanye watu wote ni marafiki wa muda tu, akiwemo hata C.T.U.

Rule number three: Ukiwa Chitchat usimwamini mtu yoyote zaidi ya "keyboard" yako, maana hapa hakuna uhalisia.

watu8 anawapenda friends wote ukiwemo wewe C.T.U , my slogan will stand to be true ever and ever
 
Hahahah!!!! duh kweli ni SISI WEREVU pekee ndio tutayashinda haya....

Rule numero uno: Usimakinike sana na kinachoandikwa wala kuzungumziwa hapa Chitchat, ikiwepo na thread hii.

Rule number two: Ukiwa hapa Chitchat wafanye watu wote ni marafiki wa muda tu, akiwemo hata C.T.U.

Rule number three: Ukiwa Chitchat usimwamini mtu yoyote zaidi ya "keyboard" yako, maana hapa hakuna uhalisia.

watu8 anawapenda friends wote ukiwemo wewe C.T.U

Noted with thanks
 
Last edited by a moderator:
Kwenye Nyekundu sasa kuna Chit chat bila members? Unajielewa?

hivi mtu akisema siipendi siasa ila sina tatizo na mwanasiasa...
kuna tatizo?
kama huipendi siasa kutokana na mfumo wake mmbovu ukawa against na yenyewe ukimkuta diwani anahitaji ushauri au kapata matatizo utaacha kumsaidia kisa una personal issues na siasa
mfano huo huo ndio unatokea hapa CC
kama siipendi CC niache kuongea na members wa cc hata wakiwa kwenye majukwaa mengine kisa ni members wa cc
wakiomba ushauri au wakiwa na shida nisiwasaidie nikiwa na shida nisiwafuate?
UNAJIELEWA?
 
usijali, maisha haya ni matamu kwanini uwe stres kwa ajiri ya watu... ebu njoo hapa afcon tupate maakuli
Best kuna mpango hili jukwaa liwe kama lile la watu wazima wait and see hawa wanaotaka kuchafua humu na vi id vyao uchwara watakomaje
 
hivi mtu akisema siipendi siasa ila sina tatizo na mwanasiasa...
kuna tatizo?
kama huipendi siasa kutokana na mfumo wake mmbovu ukawa against na yenyewe ukimkuta diwani anahitaji ushauri au kapata matatizo utaacha kumsaidia kisa una personal issues na siasa
mfano huo huo ndio unatokea hapa CC
kama siipendi CC niache kuongea na members wa cc hata wakiwa kwenye majukwaa mengine kisa ni members wa cc
wakiomba ushauri au wakiwa na shida nisiwasaidie nikiwa na shida nisiwafuate?
UNAJIELEWA?

teh teh teh. Unawafuate wa nini wakat hupend wanayoyafanya?
 
slogan yako yaweza kukuweka salama lakini hutapata faida na JF kamwe watu8 ... Nimeshafanya biashara na members wengi pasipo kuonana hata sura. Uaminifu ni kitu muhimu
 
Last edited by a moderator:
Watu wako??makubwa haya we ni snitch tu huna jipya

Bibie hivi unajua maana ya hilo neno unalolitumia lakini?
Hivi kwa huu waraka watu ndio wameni snitch au mimi ndio nime snitch?
 
If ur against CC why uifatilie kiasi hicho, nina wacwac na ww C.T.U

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe si graduate kabisa?
Unafanya nini hapa?
Kafuge kuku biashara inalipa.


Bibie hivi unajua maana ya hilo neno unalolitumia lakini?
Hivi kwa huu waraka watu ndio wameni snitch au mimi ndio nime snitch?
 
God is watching us.siwezi kutoa hitimisho nilifanikiwa kusoma psychology ndo maana watu humu hawanipi shida ya kumtambua mtu mapema na namshukuru Mungu kunipa utashi huo tangu awali niligundua la mtu member wa chit chat kuja na ID mpya na kutukana wanachit chat nilipomtambua nikaweka distance na ni kabla ya kuja kwa marry, kinachonipa nguvu ni kuwa naweza kuishi na aina yote ya watu kikubwa zaidi ni kutoona faida ya unafiki wa mtu.CHIT CHAT FOREVER
 
Chimbuvu my brother upooooooooo? jumapili humu palikua hapatoshi nikaamua hata ku tun of PM humu kuna watu wamesha fanya maisha halisi kumbe ni zugaaaaaaa .. Habari za kazi

Wewe si graduate kabisa?
Unafanya nini hapa?
Kafuge kuku biashara inalipa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom