C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,771
- Thread starter
- #121
Last edited by a moderator:
Majinuni ndio nani mama?
Gfsonwin mwache bado ana majonzi .....
Mkuu Evelyn Salt huyu jamaa namchukia na kumdharau sana, halafu jinsi anavyojitahidi kuandika hizi pumba zake anataka aaminike. Hakuna siku nimemdharau kama siku aliposema CC ni kijiwe cha majobless. Siwezi muacha hivi hivi huyu jamaa.
Shule bwana.....
Nimeipenda attitude yako... halafu mkikosa kazi mnasema mmerogwa...
Mtabaki ma joble.... mpaka viatu viote sugu
Ikijitokeza siku tumekutana, unaweza ukaomba ardhi ipasuke uingie kwa aibu utakayopata. Anyway, tubaki tu kuzinguana nyuma ya keyboard kwingineko tuachie realitu ituamulie.
By the way, siwezi kuwa jobless maisha yangu yote. Kazi kwako unashinda humu ndani kuchonganisha watu na maID kumikumi.
Jambo usilojua ni sawa na usiku wa giza ...dogo
Nakuita dogo kwa navyoandika, its seems wewe ni too young ila kama una umri mkubwa ... sorry my bad ila jiangalie kwanini nimekuita dogo....kwa kusoma maandishi yako
Anyway mie ni mtu mwenye double personality... japokuwa sina double ID
Siku ikitokea tunahitaji kuongea ma wananchi... nitakualika ... may tunaanza
Mkuu na ndio maana najaribu kumuweka out kwenye hili....
Ha ha ha ha ha ha ha! Kweli hii dunia ina watu wenye akili za ajabu. Basi bana mimi nilidhani naongea na mtu mwenye akili timamu.
Umbea wangu ni nini sasa?
Mbona sijaelewa?
Siku zote tatizo ni kupambana nalo sio kulikimbia....
Wapi hapo nije..
Hapa ni maeneo ya fire, jamaa hua wana pweza na supu yake vya ukweli yani, me daily napita hapa kutumia izi mambo.. na juice ya miwa lita 1.5
Hahahaha angeline jolie.... wanichekesha na kunipa raha