Sasa waraka awaandikie vilaza wa CCM na kuchanganyikiwa halafu kulinganishwa wawe CHADEMA?Hivi bila hao CHADEMA haupati upumuaji mwema?Akili ya Luhaga Mpina mmoja ni sawa na akili za viongozi waandamizi Chadema watatu.
😂😂Sasa waraka awaandikie vilaza wa CCM na kuchanganyikiwa halafu kulinganishwa wawe CHADEMA?Hivi bila hao CHADEMA haupati upumuaji mwema?
Au nimemuuliza "kidobofu" mwagito?😂😂😂😂😂
Kama unahusu maslahi ya Tanganyika, naungana na watanganyika walio wengi kumpongeza hata kabla sijauona.Nampongeza sana Luhanga Mpina kwa walaka huo kama upo. Suala la muungano lazima liwe na faida kwa pande zote.
Muungano hauna mizania.Muungano unaowadekeza Zanzibar utadhani watoto wachanga wanalishwa uji wenye maziwa huku wanatambaa kona zote za sebule.Kama unahusu maslahi ya Tanganyika, naungana na watanganyika walio wengi kumpongeza hata kabla sijauona.
Kwasababu amepoteza ugali wake???Jamaa anapiga misumari mikali sn
Lakini si anaongea ukweli?Kwasababu amepoteza ugali wake???
Tuwekee hapa huo waraka mkuuWaraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
😂😅mbinguni moja kwa moja🤸🤸🤸🤸🤸Akili ya Luhaga Mpina mmoja ni sawa na akili za viongozi waandamizi Chadema watatu.
mpina huyu huyu wa kupima samaki waliokaangwa kwa rula na kuchoma nyavu za wavuvi wadogowadogo aigawe CCM anayoigwaya yeye mwenyewe?Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
Kwa sababu Chadema hawana uwezo wa kujenga hoja kama Mpina.Sasa waraka awaandikie vilaza wa CCM na kuchanganyikiwa halafu kulinganishwa wawe CHADEMA?Hivi bila hao CHADEMA haupati upumuaji mwema?
Waraka wenyewe uko wapi? Uwekwe hapa basiWaraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
Wewe haushi kwenye vichwa vya wana CHADEMA kiasi cha kuwachagulia na kuwapangia cha kufanya.Huwezi kumlinganisha Mpina aliye CCM walipo wezi na mafisadi na CDM kama chama kinzani.Huyo Mpina hajaongea na CDM.Anawakoyonga CCM wenzie.Mumjibu bila kuwatanguliza CDM kwenye utetezi wenu.Kufeni naye!Kwa sababu Chadema hawana uwezo wa kujenga hoja kama Mpina.
Wao kama wapinzani walipaswa kuyafanya haya anayoyafanya Mpina.
Badala yake Chadema wao wanaedeleza siasa za kuandama watu binafsi, (Personal Attacks ).
Chadema wamekalia visasi kwa wale ambao wao wanadhani walishiriki kwa namna moja au nyingine kuwafanya wawe nje ya bunge na kuukosa ulaji kwa miaka hii mitano.
Mpina ni mwanasiasa mahiri sababu yeye anapambana na CCM, ilhali yuko humo humo.
Mpina hatukani mtu bali anatoa hoja ambazo zinawaweka CCM mahali pagumu kuzijibu.
Mpina anajenga hoja ambazo wananchi wanazielewa na pia kumuelewa.
Ndio maana nimesema bila kupepesa kwambaa...Mpina mmoja ni sawa na viongozi watatu waandamizi wa Chadema .
Hili halina ubishi.