Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

Luhanga ni mwizi tu kama ccm wengine kelele anazopiga sababu hana uwaziri tu njaa inamsumbua..kama anachukia maovu ajitoe ccm aje chadema huku
 
Luhanga ni mwizi tu kama ccm wengine kelele anazopiga sababu hana uwaziri tu njaa inamsumbua..kama anachukia maovu ajitoe ccm aje chadema huku
Unadhani ni nani anatakiwa aseme ndo ataonekana mzalendo?
 
Kuyashabikia maccm ni hatariiii,huyo kakosa fursa ref.yeye akiwa waziri,kwani kabla Bashe alikuaje
Muwe mnaelewa mambo!

Kikatiba waziri ni mtendaji was serikali hapaswi kuhoji serikali hiyo ni kisheria!huwezi kuhoji wakati wewe no sehem ya mhojiwa!!

Huu ushamba wa kisheria nauona Santa humu jamvini!

Kwa akili za kawaida hivi waziri mkuu amhoji nani!!?na mawziri watahoji nani wakati wao ndio wanatakiwa wahoji!!?
 
Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
Tuuone wote kabla sijachangia
 
kama anachukizwa na yanayoendelea ajitoe huko aje upinzani kuongeza nguvu ya kuondoa ccm
Ili kuwaondoa hao mafisi inapendeza yavurugane yenyewe kwanza. Lowassa alitoka humo yuko wapi kwa sasa. Mi naona anachokifanya yuko sahihi haijalishi alishawahi kukosea huko nyuma maana hakuna mwanadamu aliyekamilika
 
Kwa sababu Chadema hawana uwezo wa kujenga hoja kama Mpina.
Wao kama wapinzani walipaswa kuyafanya haya anayoyafanya Mpina.
Badala yake Chadema wao wanaedeleza siasa za kuandama watu binafsi, (Personal Attacks ).
Chadema wamekalia visasi kwa wale ambao wao wanadhani walishiriki kwa namna moja au nyingine kuwafanya wawe nje ya bunge na kuukosa ulaji kwa miaka hii mitano.

Mpina ni mwanasiasa mahiri sababu yeye anapambana na CCM, ilhali yuko humo humo.

Mpina hatukani mtu bali anatoa hoja ambazo zinawaweka CCM mahali pagumu kuzijibu.
Mpina anajenga hoja ambazo wananchi wanazielewa na pia kumuelewa.
Ndio maana nimesema bila kupepesa kwambaa...Mpina mmoja ni sawa na viongozi watatu waandamizi wa Chadema .
Hili halina ubishi.
Uko sahihi sana mkuu.
 
Kuyashabikia maccm ni hatariiii,huyo kakosa fursa ref.yeye akiwa waziri,kwani kabla Bashe alikuaje
Shida kubwa si viongozi wa CCM wanaoneemeka na ufisadi wanaoufanya, marofa ni washabiki wanaolenga kutafuta nafasi za uteuzi kwa njia ya kujikomba na wengine ulipwa ujira kidogo kutetea ujinga kwenye mitandao. Mama na baba zetu uko vijijini wanaogawiwa t-shirt na madela si wa kulaumiwa, uwezo wao wa kufikiri unaishia hapo.

Hivi mtu mwenye akili atampondaje Mpina kwa kuchoma nyavu zilizokuwa zikivua samaki wachanga ? Kuzuia watu wasivue kwa kulipua baruti nk.
 
Back
Top Bottom