Kwani hakuna ya hovyo wanayoyashiriki wakishakua mawaziri!?,acha kujiona una uelewa mpana wewe kwa kudharau wengine.Ni hivi!,tatizo linaletwa na haya maccm,na ukitaka kujua hilo umewahi kusikia liccm (wabunge),wakiwemo hao mnaowaona majembe wakizungumza lolote kuhusu mabadiliko ya katiba ambayo itawafanya wabunge wasiwe mawaziri!?.Muwe mnaelewa mambo!
Kikatiba waziri ni mtendaji was serikali hapaswi kuhoji serikali hiyo ni kisheria!huwezi kuhoji wakati wewe no sehem ya mhojiwa!!
Huu ushamba wa kisheria nauona Santa humu jamvini!
Kwa akili za kawaida hivi waziri mkuu amhoji nani!!?na mawziri watahoji nani wakati wao ndio wanatakiwa wahoji!!?