Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

Kwani hakuna ya hovyo wanayoyashiriki wakishakua mawaziri!?,acha kujiona una uelewa mpana wewe kwa kudharau wengine.Ni hivi!,tatizo linaletwa na haya maccm,na ukitaka kujua hilo umewahi kusikia liccm (wabunge),wakiwemo hao mnaowaona majembe wakizungumza lolote kuhusu mabadiliko ya katiba ambayo itawafanya wabunge wasiwe mawaziri!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…