Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

Kwa ulivyoandika baadhi ya maneno wewe sio mkatoliki.Pia jifunze kujadili hoja.Hivi unakumbuka mkutano wa kwanza wa elimu ya mkataba wa bandari ulifanyika kurasini TEC na aliyeupeleka ni Mbarawa waziri wa uchukuzi.Siku ile maaskofu hawakutoa neno lolote hadi watafakari kwa kina.Usichojua ni kuwa hata viongozi wa serikali wapo wa dini zote hivyo kanisa likitaka habari halimwombi Mungu toka mbinguni wapo maafisa wa kanisa serikalini,linaomaafisa duniani huko.Hivyo hawajakurupuka ndio maana wametaja vigungu specific.Ambavyo kama unafuatilia ndio vilivyoleta mzozo Djibouti na Hawa Hawa DP world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…