Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka afanye nini kwa mfanoKatika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.
Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?
Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".
Hata ikiwa imeisha tunashukuru waamini wengi hasa wa vijijini wametambua ni nani adui yao hivo kazi ya kuendelea kuwaelimisha imerahisishwa na waraka,,Hata wakipiga kelele ishaisha hioo
Tutumie picha ya Dr. Phillip Isidory Mpango akiwa amekasirika. Huyu Mzee amebarikiwa smilling face hata katika nyakati ngumu.Katika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.
Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?
Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".
Una "kavideo" tuone!Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?
Katika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.
Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?
Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".
Mkuu waraka uko mtandaoni ba na hauna sumu yoyote, una maziwa mengi tuu.Mimi nausubiri huo Waraka kwenye Radio Maria ili niusikie una sumu kiasi gani
Kuna haja ya kupata ufafanuzi, kwanini hata waislam wa Zanzibar wanaunga mkono mkataba wa bandari? Bandari za Zanzibar hazimo kwenye mkataba kwanini wasiombe nao bandari zao zichukuliwe na dpw?Sasa ule ubovu wa mkataba ndio unaenda kufahamika mpaka vijijini.
Ujinga wa Samia umekuwa mzigo mzito kwa CCM.
Ata masaburi yako pia tutauza tangaza bei tu .Kumbe mmeuza rasilimali za nchi kwa kuangalia sura laini. Au ndio maandalizi ya kuhama kambi
Magezeti. Yamepewa mlungula amna sio raia mwema, mzelendo nipasheWamegoma kutoa magazetini jamaa wameamua kusoma kanisani
Nepi pale amnaaga akili ukitoa lile tumbo la rushwaNape ameishauri serikali na CCM kinyume.
Kuzuia magazeti imekuwa faida kusomwa kwenye misa ambapo kila muumini ameeleweshwa na waumini walikuwa hawana uwezo wa kuyafikia au kununua magazeti.
Humu JF sijuonaMkuu waraka uko mtandaoni ba na hauna sumu yoyote, una maziwa mengi tuu.
Unandike kwenye mstimu piaBinafsi mimi pia nitajitolea kusambaza waraka kwa majirani zangu hapa mtaani free of charge, nitautoa copy na kuusambaza mwenyewe. Ikibidi hata kuelewesha ambao hawajui nini kinaendelea.