Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2722571
Umesomwa kwa utulivu, weledi na unyenyekevu mkubwa.
 
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2722571
Lazma wajue nchi ina wasomi na wenye weledi mkubwa
 
Mkitoka kuusoma kanisani uleteni na mtaani maana waumini wenu wengi hawaji kanisani kutokana na michango mingi.

Padri akitaka gari mnawachangisha waumini zenu.
Muumini akitaka gari mnamuombea.

Chululu zenu.
Tunawachangia kwa kuwa wanatuhudumia,
We na nepi,msukuma na mwigulu pia tunawanunulia tena VXR 2023 sasa kwa makuhani nongwa ya nini
 
Serikali kubalini tu kwamba dude hilo la mkataba wa Dp world halitakiwi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2722571
Wameanza uchochezi km walivyofanya Rwanda siyo? Waambie serikali iko makini uvumilivu ukiwashinda hawataangalia hizo joho zao, wana hamu ya kunyea ndoo.
 
The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.

. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
We ni poyoyo tu hujui unaloandika.
 
Sasa ndio Samia anapaswa kuelewa nchi sio mali yake na
"Msoga Gang"
Nchi hii ni mali ya watanzania.....

Na ahakikishe ndege yetu imerudishwa na waziteme hizo pesa za DP-WORLD.
Nchi ni mali ya hao walevi na wazinzi waliojificha kwenye majoho? Wakati Magufuli mkatoliki mwenzao waliona sawa siyo? Hizo nyaraka zao hazijaanza leo na hakuna waraka hata moja ulioisumbua serikali. Hao nyau tu wamejaa ubaguzi wa kidini. Kanisa katoliki ni kundi dogo tu kunq makqnisa mengi na bado waislamu ambao inqwezekana ni zaidi ya nusu ya watanzania.
 
Screenshot_20230820-111957~4.png
 
Kwa kweli kutokea kanisani kwetu, Parokia ya Mwenyeheri Isdory Bakanja, Boko, Dar-es-sallam, Mkataba tumesomewa na tumeuelewa sana, makofi na vifijo vilipigwa kwa wingi sana. Hongereni sana waheshimiwa ma-Baba Askofu wetu, kazi nzuri sana.
 
Mkitoka kuusoma kanisani uleteni na mtaani maana waumini wenu wengi hawaji kanisani kutokana na michango mingi.

Padri akitaka gari mnawachangisha waumini zenu.
Muumini akitaka gari mnamuombea.

Chululu zenu.
Leo makanisa yamejaa sana na copy zilikuwepo za kutosha, hata wewe ukitaka pitia kanisani utapatiwa free of charge.
 
Mkitoka kuusoma kanisani uleteni na mtaani maana waumini wenu wengi hawaji kanisani kutokana na michango mingi.

Padri akitaka gari mnawachangisha waumini zenu.
Muumini akitaka gari mnamuombea.

Chululu zenu.
Unamfahamu Padre yo yote Mkatoliki aliyetaka gari akachangisha hela kutoka kwa waumini? Ingawa Mapaddre wakatoliki hawana mshahara, hakuna Padre hata mmoja anayelalamika njaa au hela ya kujikimu. Wanaochangisha ni makanisa yaliyoanzishwa karibuni tu ya mtu binafsi. Kanisa Katoliki ni moja, takatifu, na la mitume.
 
Kuna jumuiya wiki ijayo mwamba mmoja amejitolea kutoa nakala 100 kwa gharama yake, kila familia itapewa nakala hata mbili waondoke nazo kwenda majumbani na wengine mitaani
 
kaz imeanza[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Nchi ni mali ya hao walevi na wazinzi waliojificha kwenye majoho? Wakati Magufuli mkatoliki mwenzao waliona sawa siyo? Hizo nyaraka zao hazijaanza leo na hakuna waraka hata moja ulioisumbua serikali. Hao nyau tu wamejaa ubaguzi wa kidini. Kanisa katoliki ni kundi dogo tu kunq makqnisa mengi na bado waislamu ambao inqwezekana ni zaidi ya nusu ya watanzania.
labda useme islam ninusu yawakatholiki ila watz uongo babu vjj vingi sana havina hata muislam mmoja ila sizani kama kuna kjj hakina kanisa
 
Binafsi mimi pia nitajitolea kusambaza waraka kwa majirani zangu hapa mtaani free of charge, nitautoa copy na kuusambaza mwenyewe. Ikibidi hata kuelewesha ambao hawajui nini kinaendelea.
waweke google PDF tuwetunasambaziana
 
Nchi ni mali ya hao walevi na wazinzi waliojificha kwenye majoho? Wakati Magufuli mkatoliki mwenzao waliona sawa siyo? Hizo nyaraka zao hazijaanza leo na hakuna waraka hata moja ulioisumbua serikali. Hao nyau tu wamejaa ubaguzi wa kidini. Kanisa katoliki ni kundi dogo tu kunq makqnisa mengi na bado waislamu ambao inqwezekana ni zaidi ya nusu ya watanzania.
Pumbafu wee, husituingize waislam kt genge la majizi, waraka wa RC tunauunga mkono kwan huko against ufisadi
 
Back
Top Bottom