ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Mimi kama muislam nawaunga mkono maaskofu kwan waraka wao uko against rushwa na ufisadiKwa kweli kutokea kanisani kwetu, Parokia ya Mwenyeheri Isdory Bakanja, Boko, Dar-es-sallam, Mkataba tumesomewa na tumeuelewa sana, makofi na vifijo vilipigwa kwa wingi sana. Hongereni sana waheshimiwa ma-Baba Askofu wetu, kazi nzuri sana.