Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

Katika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.

Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?

Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".
Ulitaka afanye nini kwa mfano
 
Hata wakipiga kelele ishaisha hioo
Hata ikiwa imeisha tunashukuru waamini wengi hasa wa vijijini wametambua ni nani adui yao hivo kazi ya kuendelea kuwaelimisha imerahisishwa na waraka,,
Sijui mtaendelea kuwahadaa au la
 
Katika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.

Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?

Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".
Tutumie picha ya Dr. Phillip Isidory Mpango akiwa amekasirika. Huyu Mzee amebarikiwa smilling face hata katika nyakati ngumu.
Tafadhali acha maneno ya uchonganishi maana hata akitoka kwenye hicho kiti cha Makamu wa Rais hauwezi kukaa wewe wala Baba yako.
 
Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?
Una "kavideo" tuone!
 
Katika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.

Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?

Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".

Screenshot_20230820-154428.jpg
 
Mwananchi News Leo ameitendea haki ofisi yake Kwa kufanya national coverage! Waandishi wametapakaa maeneo mengi ya nchi huku wakikusanya mitazamo ya wamini juu ya waraka wa kaiskofu wa Baraza la Maaskofu! Naamini watawala wamewasikia Kinga ubaga washupaze shingo waanguke
 
Padre alipoanza tu nikawasha Cha kurekodia in Gwajiboy's voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ule ubovu wa mkataba ndio unaenda kufahamika mpaka vijijini.

Ujinga wa Samia umekuwa mzigo mzito kwa CCM.
Kuna haja ya kupata ufafanuzi, kwanini hata waislam wa Zanzibar wanaunga mkono mkataba wa bandari? Bandari za Zanzibar hazimo kwenye mkataba kwanini wasiombe nao bandari zao zichukuliwe na dpw?
 
Nape ameishauri serikali na CCM kinyume.

Kuzuia magazeti imekuwa faida kusomwa kwenye misa ambapo kila muumini ameeleweshwa na waumini walikuwa hawana uwezo wa kuyafikia au kununua magazeti.
Nepi pale amnaaga akili ukitoa lile tumbo la rushwa
 
Binafsi mimi pia nitajitolea kusambaza waraka kwa majirani zangu hapa mtaani free of charge, nitautoa copy na kuusambaza mwenyewe. Ikibidi hata kuelewesha ambao hawajui nini kinaendelea.
Unandike kwenye mstimu pia
 
Back
Top Bottom