Waraka wa Maaskofu Katoliki kusomwa na makanisa yote nchini kesho Agosti 21, 2023

Waambie watoe waraka mwingine kuhusu pesa zetu za escrow walizokwapua
 
Zamani wakati kanisa lina nguvu haya mambo mliyafanya kwa siri chini ya Nyenyere wenu, lkn kwa sasa mmeishiwa mnajiropokea tu...
 
N

Nchi hii co yakikatoliki na Wala Safari hii hamtasikilizwa maoni yetu yatatupwa kwenye Dustbin
Sikiliza alafu mtukane na huyu
Your browser is not able to display this video.
 
Zamani wakati kanisa lina nguvu haya mambo mliyafanya kwa siri chini ya Nyenyere wenu, lkn kwa sasa mmeishiwa mnajiropokea tu...
Ona hii Mbumbumbu inaongea mashudu
 
N

Nchi hii co yakikatoliki na Wala Safari hii hamtasikilizwa maoni yetu yatatupwa kwenye Dustbin
Nchi si ya mtu au kundi fulani. Nchi hii ni ya wote. Kwa hiyo kila mtu/kundi linatumia channels zake ku exercise uhuru wake wa kikatiba ilimradi tu halivunji sheria za nchi.
 
kesho hata tulia akson kama ni mkatoliki ataambiwa mkataba hsutakiwi kesho hata makamu wa raisi ataambiwa madhabahuni mkataba huo hsutakiwi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106][emoji106][emoji106] sauti ya mungu inaenda kutenda jambo jema katika taifa letu tumelia tangu tarehe 10/06/2023 kuhusu mkataba wa bandari sasa kilio kimefika kwa watumishi wa mungu na wameonesha njia na nimhimu tuwaunge mkono bandari ni urithi wetu.
 
huu ni ujinga mtupu kwani dini zingine zitakuja kuwapinga makatoliki
 
Nchi si ya mtu au kundi fulani. Nchi hii ni ya wote. Kwa hiyo kila mtu/kundi linatumia channels zake ku exercise uhuru wake wa kikatiba ilimradi tu halivunji sheria za nchi.
Hao watu wa kofia ndefu wanataga Serikali iwasikilizage wao tu wanajionaga wao ndio daraja la kwanza tabaka la utawala tabaka la juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…