Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
Cha msingi pinga hoja zao walizosema. Zichambue tuone wapi kuna pumba, vinginevyo ni kulijenga taifa katika chuki za kidini kuliko uhalisia wa maendeleo nchi.Hao watu wa kofia ndefu wanataga Serikali iwasikilizage wao tu wanajionaga wao ndio daraja la kwanza tabaka la utawala tabaka la juu