okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,459
- 3,842
Hakuhitaji kuhujaji WARAKA bali kwake haki ilikuwa na kumuondoa Zitto na wenzie.Hapa Tanzania mtu mwenye msimamo kwenye siasa ni Lisuu, na anapenda kuona haki ikitendeka kwa kila mtu,
Ccm wote ni wenye kutanguliza maslahi mbele kama kawaida ya Viongozi wengi wa Afrika,
Ameishia piga kelele rushwa ndani ya chama chake.🚮🚮🚮
Mtanzania ni mtanzania na vile hatujui tukitakacho.