okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,459 Reaction score 3,842 Jun 12, 2025 #21 Jakamageta said: Hapa Tanzania mtu mwenye msimamo kwenye siasa ni Lisuu, na anapenda kuona haki ikitendeka kwa kila mtu, Ccm wote ni wenye kutanguliza maslahi mbele kama kawaida ya Viongozi wengi wa Afrika, Click to expand... Hakuhitaji kuhujaji WARAKA bali kwake haki ilikuwa na kumuondoa Zitto na wenzie. Ameishia piga kelele rushwa ndani ya chama chake.🚮🚮🚮 Mtanzania ni mtanzania na vile hatujui tukitakacho.
Jakamageta said: Hapa Tanzania mtu mwenye msimamo kwenye siasa ni Lisuu, na anapenda kuona haki ikitendeka kwa kila mtu, Ccm wote ni wenye kutanguliza maslahi mbele kama kawaida ya Viongozi wengi wa Afrika, Click to expand... Hakuhitaji kuhujaji WARAKA bali kwake haki ilikuwa na kumuondoa Zitto na wenzie. Ameishia piga kelele rushwa ndani ya chama chake.🚮🚮🚮 Mtanzania ni mtanzania na vile hatujui tukitakacho.