NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,353
Sikuwahi kuupitia huu waraka nimeutafuta nimeusoma,nimegundua ushabiki wa kisiasa ndo upumbavu wa kiwango cha juu zaidi chini ya jua labda na imani za dini zikifuatia.
Halafu inaonekana CHADEMA kina siri nyingi sana maana wote wanaotimuliwa inasemekana wanavujisha siri hadi mlinzi wa katibu naye tumeambiwa anavujisha siri za chama.
Atakaye kuja kukiua chama ni Mbowe mwenyewe ni suala la muda tu.
Kama mtu anajipachikia majina ya viti maalamu anayoyataka yeye na kuyaacha yaliyopendekezwa na mkutano mkuu sijui kamati HII NI DHARAU KUBWA MNO KWA WANACHAMA HASA WALIOSHIRIKI HIVYO VIKAO.
Halafu mtu anaomba radhi tu,mambo yanaendelea kama kawa wala hakuna wa kumkemea wala hakuna kikao cha kumjadili.
Pamoja na udhaifu mkubwa wa serikali ya CCM bado Ina miongo kadhaa madarakani mpaka MBADALA UTAKAPOPATIKANA.