TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Bahati mbaya siwezi kuhoji zaidi baadhi ya vipengele kwenye walaka huu, kwa sababu muhusika ameishapumzika (R.I.P)Uki quote watu wataona uvivu kusoma
swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya siwezi kuhoji zaidi baadhi ya vipengele kwenye walaka huu, kwa sababu muhusika ameishapumzika (R.I.P)Uki quote watu wataona uvivu kusoma
swissme
Nendeni Mbele zaidi mseme CHADEMA ndio walimuua Nyerere ila radhi ii moja...haiwezekani kudhoofisha nguvu ya umma....hata kidogo!
Yaaani hata mie nashangaa,,,sielewi kabisa watu wamelishwa nini. Wanashindwa hata kufocus kwenye makosa ya Mwenyekiti na Katibu ambayo tayari yana uthibitisho wanabaki kung'ang'ana na vitu vya kufikirika.
bwana mdogo ungeniuliza kwanza kwann umerudia ata kwa pm usikurupuke tu na kudharau watu tunaifahamuHumu JF kama wengi wetu tungekuwa tunajitokezana majina halisi kuna watu wasingeweza kutembea mchana maana kila mtu angekuwa amewagundua kuwa ni mabongo lala ambayo hayastahili hata kuzungumza mbele za watu kwa kuwa uwezo wa ubongo wao hata mbuzi ana nafuu.
Kweli mtu mzima waweza kurudia maneno yale yale kila siku wakati majibu yake yalishawekwa wazi siku nyingi? Halafu watu mnaowasingizia wanazidi kukubalika na kusonga mbele nyie mpo palepale na maneno yale yale kama mazuzu?
Kumbe hakuanza zitto wote wenye akili ndani ya chadema lazima wafukuzwe,
Ukitaka kubaki chadema lazima ukubari upoyoyo kwanza kama alivyokubali Lisu.
Matokeo yake wanachadema wamemtelekeza Chacha wangwe hawakumsaidia, R.I.P Kamanda wa ukweli. Hongera sana Zitto katka katikabiliana na huyu Simba mlawatu. Naamini haki itashinda.from:Chacha W.
Rai yangu kwa wana CHADEMA na wale wote wanaokitakia mema chama chetu na nchi yetu kwa ujumla ni kwamba kazi ya kupigania demokrasia ya kweli ndani na nje ya chama, kukiepusha chama na vitendo vya ukabila, migogoro, ubadhirifu, umangimeza, ufisadi na ubaguzi wa aina yoyote bado inaendelea na nawaombeni mniunge mkono kwa hali na mali katika vita hii. Naamini tutashinda.Mungu Ibariki CHADEMA Mungu Ibariki TANZANIA Mungu Ibariki AFRIKA
Chadema mikoani wanateseka wakati makao makuu wamejazana wachagga wanakula tu ruzuku ya chama
Macho yao wote yamepofushwa na mbio za kuelekea Magogoni, mpaka hawatafakari hatari ya kuwaingiza IKULU hawa madhalimu waliojionyesha mapema mno ubaya wao!
Wanatarajia watu wanaoshindwa kutoa demokrasia na 'transparency' ndani ya chama wataweza kufanya hivyo kama watawala wa nchi?
Kwasasa Lowassa is the best.CCM Mkamalizane na Lowassa Halafu ndo Mje Mjipime na CHADEMA.
Dj mbowe na mzee slaa wanaharibu sana CDM. Ni wanafiki na wahafidhina, wanageuza chama kuwa kampuni binafisi. Huku wakiamua na kufanya vyovyote watakavyo.
Watangaze wazi kama CDM ni chama cha wachaga ili watanzania wasiokuwa wachaga waachane kabisa na chama hicho.
Nimechoshwa na viongozi hawa wasiotaka mabadiliko yoyote ndani ya chama!!!!!