Kupigika kwako kunatokana na upuuzi / Uvivu wako wa kujihangaisha usiisingizie CCM. Hakuna chama tawala chochote duniani kinacho badili maisha ya mtu, bali maisha ya mtu hubadilishwa na mtu mwenyewe.
Akili Ndogo Zinaonekana tu Ktk Kutoa Comments; Yaana watu walivyopigika unahitaja CCM hapa... Pole Kijana Kizazi Kipya...
Mapambano ya kuwaondoa mafisadi madarakani si kazi rahisi. Watatunga uongo mwingi, propaganda nyingi za uongo, watatuteka/ tesa/ ua lakini naamini tulio na moyo tutastahimili hadi mwisho. Hivi kweli wanataka kutuaminisha kwamba CHADEMA ni mbaya kiasi wao ni wazuri tuendelee kuwaacha madarakani!? Haiwezekani. October mwaka huu lazima watoke madarakani kwa namna yoyote ile.
Kuliko kuruhusu ubaguzi na ukabila utawale nchi,ni bora CCM iendelee ingawa imechokwa.Hatuwezi kuruka mkojo tukakanyaga kinyesi.
Ni vema watu wajue tumetoka wapi tunakwenda wapi kwa sasa acha tufukie makaburi mkuu ili kuweka kumbukumbu sawa.huu waraka ulishajadiliwa sana miaka hiyo... acheni kufukua makaburi
Narudia tena mbowe anakiharibu chama na sasa anamuwinda Dr slaa
Kumbe hakuanza zitto wote wenye akili ndani ya chadema lazima wafukuzwe,
Ukitaka kubaki chadema lazima ukubari upoyoyo kwanza kama alivyokubali Lisu.
"Hakuna chama tawala chochote duniani kinacho badili maisha ya mtu", Achana na Maneno Mengine yote hili Hapa ndilo limekuonyesha Ulivyo Mtupu. Chama tawala maana yake nini?, Hizi ni Slogan za CCM, zilizotolewa na watu wenye upeo Mdogo wa uelewa na Kupokelewa na watu wenye upeo mdogo wa Kupambanua mambo.
Tunasema Chama Kinachoongoza Serikali, Ni Kuongoza wala si Kutawala; Kutawala hii ilikuwa ni enzi za wakoloni ,Unaposema Duniani Kote unamaanisha Nini?,Je tunapochagua Viongozi Nia yetu nini?. Kwa Lugha Nyepesi Una Maana Kwamba Chama Kinachoongoza ni Chama tu na Serikali ni Serikali tu.
Kama kweli Unasema sisiem ni Chama tawala basi malengo yake si kutuletea Maendeleo, kwa maana wao nia ni Kututawala tu hata kwa Kuiba Kura.
Malengo ya Watu Kukipa Chama chochote Cha Siasa ridhaa ya Kuongoza Serikali ni Kuwaletea Maendeleo na Kujiongezea Kipato. Nionavyo wewe Unashindwa Kuelewa ya Kwamba hata CUF ikipewa Dola Itaitwa Chama Kinachoongoza.
Tofautisha kati ya Kutawala na Kuongoza; Kuongoza ni Kuonyesha njia.... Kutawala kama Sisiem Wafanyavyo ni swala la watu Kujifungia ndani na kutoa maamuzi bila Kuwashirikisha wadau kama" Katiba ya Chenge",Hivyo ndio maana Watu wenye akili Ndogo Wanasema Sisiem ni Chama tawala.
hebu we unaejiona una kitu kichwan jibu hiyo hoja hapo juu vinginevyo ntakuona empty
Nadhani Hii Itakuwa ni Nzuri zaidi kwa MaCCm Iwapo CHADEMA Itakufa.Hongera CCM kwa Kuitabiria CHADEMA Kifo Kila Kunapokucha.Kinachoisaidia chadema kwa sasa ni koti la ukawa, soon kinakwenda kufa kama nccr tu
mgt softwareWatakuja kufanya nini na uharo kama huu, yaani hata mfanye nini aliyeturoga kuipenda chadema ashakufa, kumbuka tunapenda chama sio watu kama nyie mazuzu mnaopenda mtu mbinafsi.