Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Status
Not open for further replies.
kwa kweli hii tread it tells more about us
tanzanians as people and why we are what we are .....
 
Umeona eeeh? Halafu tunajiuliza kwa nini sisi ni maskini au kwa nini hatuendelei.....wakati jawabu liko wazi kama pakacha.

yaani
halafu huko nyuma nimeuliza
kama watu hawasemi bila sababu
je obama?jay z?lenox?

watanzania ni very interesting kwa kweli
yaani unazushiwa,ukisema unazushiwa,jibu unaambiwa
et kwa nini uzushiwe wewe,kweli?????
 
Watanzania fanyeni kazi acheni kufuatilia vitu visivyomsingi.

Hata mtu akiwa gay....so what?
 
mimi huwa nahusisha kila kitu cha watanzania
na ile research inayooshesha watanzania ndio watu wenye
kufanya na kuamini ushirikina zaidi afrika..yaani no 1
na tunajua watu washirina roho zao zilivyo..
nikifika hapo huwa sishangazwi tena na watanzania baadhi walivyo
 
myao wa tunduru mkuu sio uungwana kutoka nje ya mada na kuanza kutukana members wengine hoja hujibiwa kwa hoja na sio matusi let's observe and be careful.
 
Aisee pole sana ndugu yangu, nilikuwa namsisitizia jamaa ataje jina na sikuwa najuwa kama ni wewe!! Ndio mambo ya watu wanaojifanya wanajua watu kumbe na yeye kasikia kwa watu anaaanza tu kurusha...
 
Aisee pole sana ndugu yangu, nilikuwa namsisitizia jamaa ataje jina na sikuwa najuwa kama ni wewe!! Ndio mambo ya watu wanaojifanya wanajua watu kumbe na yeye kasikia kwa watu anaaanza tu kurusha...

Ina maana asingekuwa mtu wa JF au unaemfahamu kwa sura ungeona sawa tu kutajwa kwenye shutuma kama zile!
 
Ingawa na mimi ni first time kuusikia huu uzushi, ila napata picha mfadhaiko wake, hii ina tarnish down ur personality and your family altogether,pole ndugu yangu,ila ndo dunia hii, inabidi yote umwachie Mungu,mtu akiamua kuharibu status yako, anaangalia njia rahisi ni kukupakazia maneno yasiyokuwa na maana.
 
Mh! Lisemwalo lipo.,na kama halipo laja.
Mkuu hutakiwi kusema hivyo utaambiwa "kafanye kazi acha kufuatili maisha ya watu" phuuf!
Hata mtu akiwa gay....so what?
Nani kasema ni gay? Mkuu pascal kasisitiza sio "gay" mimi nikasema siwezi kuamini uhalisia wa "jinsia yake" kwa bandiko lake tu,eende mbali zaidi.Mbona watu mnadai source? Great thinker lazima mfikirishe kichwa
 
"Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena. Kwa maana kwa maneno
yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa.” Matayo 12:36

pole sana Pasco... huyo laiyeyasema na kutumumu hayo akumbukuke

"Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya uongo, na ye yote anayeeneza uchonganishi ni mpumbavu. Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara." Mithali 10: 18-19
 
Rudia kusoma vizuri ili uelewe. Waliozusha ni watu wa humu ambao sijawahi kukutana nao ana kwa ana. Sasa wewe kwa akili yako ya mjusi utaanzia wapi kunizushia mimi habari za ushoga wakati hatujuani zaidi ya hapa JF? Fikiria.
Mkuu katika member elfu 43 na ushee wewe tu "uzushiwe" ushoga? huoni kuna tatizo hapo,kwa mtu mwenye akili lazima ajiulize mara mbili mbili.Why you?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom