Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kweli hii tread it tells more about us
tanzanians as people and why we are what we are .....
Umeona eeeh? Halafu tunajiuliza kwa nini sisi ni maskini au kwa nini hatuendelei.....wakati jawabu liko wazi kama pakacha.
noted mkuu na wote waliokwazika kwa maandishi yangu!ramadhan kareem!myao wa tunduru mkuu sio uungwana kutoka nje ya mada na kuanza kutukana members wengine hoja hujibiwa kwa hoja na sio matusi let's observe and be careful.
Tuko pamoja mkuu.noted mkuu na wote waliokwazika kwa maandishi yangu!ramadhan kareem!
na wewe lipi? walewaleeeee wazushiMh! Lisemwalo lipo.,na kama halipo laja.
Aisee pole sana ndugu yangu, nilikuwa namsisitizia jamaa ataje jina na sikuwa najuwa kama ni wewe!! Ndio mambo ya watu wanaojifanya wanajua watu kumbe na yeye kasikia kwa watu anaaanza tu kurusha...
Mkuu hutakiwi kusema hivyo utaambiwa "kafanye kazi acha kufuatili maisha ya watu" phuuf!Mh! Lisemwalo lipo.,na kama halipo laja.
Nani kasema ni gay? Mkuu pascal kasisitiza sio "gay" mimi nikasema siwezi kuamini uhalisia wa "jinsia yake" kwa bandiko lake tu,eende mbali zaidi.Mbona watu mnadai source? Great thinker lazima mfikirishe kichwaHata mtu akiwa gay....so what?
Mkuu katika member elfu 43 na ushee wewe tu "uzushiwe" ushoga? huoni kuna tatizo hapo,kwa mtu mwenye akili lazima ajiulize mara mbili mbili.Why you?Rudia kusoma vizuri ili uelewe. Waliozusha ni watu wa humu ambao sijawahi kukutana nao ana kwa ana. Sasa wewe kwa akili yako ya mjusi utaanzia wapi kunizushia mimi habari za ushoga wakati hatujuani zaidi ya hapa JF? Fikiria.