Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

Anglican walivurunda walivyomualika juzi kufungua jengo lao Dodoma.

Haukuwa muda muafaka, walichofanya ni sawa na kilichofanywa na Simba S C.
Sioni kama kuna shida. Ufunguzi wa jengo na mkataba wa bandari ni vitu viwili tofauti.

Kama wana maoni yao kuhusu mkataba bado wanaweza kutoa.
 
🚮🚮
 
Kuna mikataba mingi sn ya kifisadi imefichwa
 
Safi sana Mkuu, hata mimi jumuiya ya MT. Joseph leo asubuhi ni mwendo huo huo...
 
Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
we ni mpuuzi, unafikiri wakishupaza shingo bandari ibinafsishwe unajua athari zake? Unaambiwa huo mkataba una magumashi mengi huelewi. Shenzi zako unafikiri ni wakatoliki tu ndio wanaopinga, wazalendo wote wa nchi hii hawakubaliani na uwekezaji huo tata
 
Hata huku kwenye jumuiya yetu waraka ulisomwa bila kuacha hata herufi moja
Waumini tumeuelewa na tunatii maelekezo ya maaskofu
Tunapinga mkataba wa bandari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi Juni 2023, Shura ya Maimamu ilitoa waraka kutaka upungufu uliobainishwa na watu kadhaa ufanyiwe kazi. Wamefafanua kuwa uwekezaji unakubalika lakini sio kwa masharti yaliyomo kwenye mkataba huu.
 
Hii yote ni matokeo ya kulindana. Kwa nini wasubiri hadi viongozi wa dini watoe nyaraka huku wakisikia kelele za kukataa kila kona? Kulikuwa na nafasi ya kuepuka haya yote na bado nafasi ipo tusisubiri viashiria hivi vya hatari.
 
Hii yote ni matokeo ya kulindana. Kwa nini wasubiri hadi viongozi wa dini watoe nyaraka huku wakisikia kelele za kukataa kila kona? Kulikuwa na nafasi ya kuepuka haya yote na bado nafasi ipo tusisubiri viashiria hivi vya hatari.
Na kuwaachia watu waliowatuhumu kwa uhaini mwanzoni wamezidi kujidhalilisha.
 
Mbona Yapi Merkez ni Waarabu hao wanajenga reli na hakuna tatizo?

Mbona bwawa la Mwalimu Nyerere tender wamepewa Arab contractors na hakuna tatizo?

Kuna watu akili zenu zimejaa mavi.
Zilizojaa mavi ni akili za watu wanaowaogopa waarabu na uwekezaji wao pale bandarini, watu wenye akili zenye kufanana na zile zilizo ndani ya chupa, hazitaki kutazama nini kinaendelea duniani.

Amsterdam na Antwerp miji mikubwa kabisa duniani bandari zao zinaendeshwa na DPW.

China zipo bandari sita zinaendeshwa na DPW. Marekani kuna bandari nyingi tu zinaendeshwa na hawa waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…