Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

Kipindi cha JK pia nyaraka zilisomwa sana makanisani. Hata sijui nataka kumaanisha nini?
 
Msiishie kuchoka kwa kuandika waraka pekee.

Anzisheni vita na waislamu au mnaogopa?
hizi kauli @feiza foxy amewarithisha kumbuka kikinuka mtatafuta pakutokea fuatilia chokochoko zenu Africa yakati kilipo nuka mkaanza kutafuta huruma muogope sana mtu mpole kimuonekano
Acheni ufitini yatakuja watokea puani nahamtaamini
 
Usimkufuru Mungu wako
FB_IMG_1692087231147.jpg
Jigeuze viatu vya Mussa ili uwekwe humo ndani na wewe uabudiwe.
 
Bandari ipo pale pale kama ilivyokusudiwa na QUEEN kwa kuwa tayari vyombo vyote viliombwa kutoa ridhaa wamekubali bandari ipewe kwa mwekezaji DP World. Vyombo hivyo ni wananchi kupitia bunge na serikali kupitia rais. Hao wananchi wa sasa walikuwa wapi wakati walipoambiwa waende dodoma kutoa maoni? Hakuna katika hao wa TEC ambae alienda bungeni kati ya wale wananchi 72. Wakenya wanatumia TEC kufifisha na kisa kukwamisha juhudi za makusudi za serikali za kuwatoa watanzania ktk dimbwi la umasikini.
TAHADHARI KWA BUNGE
Mimi kama mtanzania wa kawaida naiomba serikali kuepushia mbali aibu itakayoipata bunge ikiwa TEC watasikilizwa kwani kazi ya kushauri,kupendekeza na kukubari au kukataa mkataba ilikuwa ni ya bunge.
Bunge naliomba kuazimia kutobariki tena mkata wa aina yoyote ikiwa bandari haitaenda kwa mwekezaji dpw.
Nahitimisha kwa kulitaka kanisa kupitia TEC waombe msamaha kwa wabunge na serikali.
Kwa serikali naomba hayo makanisa yakaripoti kwa msajili dini kwa kosa la kukusanya taarifa.
 
Na pesa za escrow walizokula maaskofu wa TEC mmepewa kwenye vigango?
P3esa za ESCROW kwa maaskofu, zilifuta taratibu zote zakifedha,ikiwemo electronic transfer kwa kiwangokikubwa cha fedha, mtu binafsi kuamua kugawa fedha yake kwa wengine, kukatwa kodi kwa fedha ya mtu binafsi baserikalikuchukua chao. SASA WEWE NIAMBIE, ZILE ZA KWENYE MASANDARUSI UNAJUWA ZILIKUWA ZA NANI? KIASI KIKUBWA KILE CHA FEDHA, KINARUHUSIWA KUTOLEWA BENKI KWA KESHI?
 
Naomba maaskofu waweke misa maalumu kwa ajili ya kuombea bandari zetu wasipewe DPW misa iwe mara moja kwa wiki kwa nchi nzima na baada ya misa lisomwe tamko la TEC kukataa mkataba na kila muumini apewe nakala yake akaweke home kwake.
 
Back
Top Bottom