Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hili taifa ni mali ya kanisa Katoliki.Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili taifa ni mali ya kanisa Katoliki.Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Hatuvai kobazi, tunavaa viatu kama kawaida.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuona mvaa kobazi wa jumamosi
OhoooooLeo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Zwazwa ni mama yako aliyekuzaa na kukuleaSDA ndio wanafundisha ushudu huu? Ewe zwazwa!.
tena huu ndo muda mzuri nyinyi nendeni parokiani kawasheni moto halafu angalieni nini kinafataManeno mengi vitendo sifuri.
Ntakuja na nyama yangu ya nguruwe niwe inajitafunia taratibu wakati na sikiliza mahubiri ya makasiriko ya wavaa kubaziHatuvai kobazi, tunavaa viatu kama kawaida.
Karibu kanisani, usiabudu sanamu
Kumbe mnaongea hata hamjui Escrow ilikuwaje!! Kawaulize Mabwana zako waliokutuma Escrow ilianzia wapi na mtetezi Mkuu wa escrow alikuwa Nani?Hilo ndo jibu? Kwani JK alipewa mgawo?
Hutakatazwa maana hatupambani na mtu, hiyo ni kazi ya Mungu atajiteteaNtakuja na nyama yangu ya nguruwe niwe inajitafunia taratibu wakati na sikiliza mahubiri ya makasiriko ya wavaa kubazi
Kabisa!Hutakatazwa maana hatupambani na mtu, hiyo ni kazi ya Mungu atajitetea
Labda yeye alikuwa anagawaHilo ndo jibu? Kwani JK alipewa mgawo?
Usisahau kwenda msikitini piaKabisa!
Nitakuwa siti ya mbele kabisa
Sawa kama tukigawana nchi tutaruhusu bandar yenu ya kipande chenu iende.ndege vipi Dubai wameachia?Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Utakuwa shoqer wewe...Zwazwa ni mama yako aliyekuzaa na kukulea
Maviii tupuMama anaendeleza kuwapa vidonda vya tumbo na magonjwa ya moyo:
View attachment 2721509
Kwenye mioyo yao kuna maradhi na atawazidishia Allah maradhi.
Aamiin .
Kama Baba yakoUtakuwa shoqer wewe...
Kuna wanasiasa miongoni mwa hao viongozi wetu, kuna mwana CHADEMA mmoja anaitwa padre Kitina, anaongea kiungwana kabisa kumbe ana ajenda zake za kisiasa.Moja ya kanuni ya Wakatoliki ni utii kwa mamlaka ya Kanisa...kwa hiyo hilo tamko la TEC ni msimamo was Wakatoliki Tanzania nzima...na Sina shaka Papa kule Vatican ameshajulishwa kabla ya waraka/tamko kutoka....
Mizizi ya Wakatoliki imejikita ndani ya jamii mijini na vijijjnii....dah serikali kazi wanayo kwa hili...
Huyo mwanamke analiongoza bunge zima na ana nguvu za kisiasa kuliko tunavyodhania.Huu waraka ni Zaid ya mkutano wa hadhara, huu waraka ni Zaid ya mechi ya Simba na Yanga, huu waraka unafanya mwanamke mzanzibar ashindwe Kula na kunywa.