Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
 
Naona hapa CCM na DPW wanatetewa Kwa nguvu zote bahati mbaya saaana hawataji Mapungufu yaliyomo kwenye mkataba ambayo yametajwa na Mahakama na Sekretarieti ya BUNGE pia, achana na individuals kama Professor Shivji.

Wanadai hizi ni propaganda! Duh
 
169251370304617669631599833736.jpg
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Inamaana hawajui serikali ni ya wananchi wenyewe na si ya CCM.
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Wanajadili vipengele?
 
Hawa Msheikh wana elimu ahera tu lakini elimu dunia hawana ndiyo maana uwezo wa kuchambua mambo kimantiki hawawezi.
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Ningewaona wa maana sana kama wangejadili hoja za kwenye tamko la TEC against vipengele vya kwenye mkataba. Wao wanona tamko litaleta taharuki, wakati wengine wanaona mkataba ndo umeleta taharuki..!!!

Yafuatayo yanaonyesha mkataba umeleta taharaki;
1. Kukamatwa kwa wakosoaji eg.Dr.Slaa, Mdude na Mwabukusi
2. Kukamatwa kwa makosa ya uchochezi, na mara wakawa wahaini
3. Uhaini ambao hauna dhamana, leo hii wanaotuhumiwa kwa uhaini wamepata dhamana.
 
Back
Top Bottom