Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais

Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025

Byebye Samia
Kwa hiyo kumbe mnatega Rais kwenye vita vya kidini. Sasa hamfai nyie au hafai Samia?

Kama Mkristo na Mkatoliki nasema hapa rasmi. Nitampigia kampeni Samia awe Rais 2025- 2030.

Kumbe ndo maujinga mnayoyafanya eeeh!! Tumewashtukia
 
Wanajadili vipengele?
Hawana uwezo wa kujadili vipengele sababu kwanza hata hawavielewi. Juzi kati nilimsikia shehe mmoja anasema "kwani kuna shida gani kama DPW wakimiliki all port teritorries and corridors kama mkataba unavyosema"!?.  Nikaona hapa kuna shida, hata kama ni haki kwa kila mtu kusema, ila dah KUNA SHIDA YA KUJITAMBUA hapo.
 
Wanadai fursa imetolewa ya kupeleka maoni na watu hawapeleki kwakua watu Wana maslahi yao
Hili Mwabukusi alishauliza, fursa ilikuwa ya siku moja. Yaani tangazo lilitoka leo kesho watu wakutane Dodoma kutoa maoni. Hivi mtu wa Mbambabay kule, au wa Mkarakate, au wa Namiungo huko angeweza kuwahi Dodoma kwenye kutoa maoni?

1692514906800.png

Hawana uwezo wa kujadili vipengele sababu kwanza hata hawavielewi. Juzi kati nilimsikia shehe mmoja anasema "kwani kuna shida gani kama DPW wakimiliki all port teritorries and corridors kama mkataba unavyosema"!?.  Nikaona hapa kuna shida, hata kama ni haki kwa kila mtu kusema, ila dah KUNA SHIDA YA KUJITAMBUA hapo.
So sad!
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Kuna watu wengine akili zao zinawatosha kuvuka barabara tu. Hivi hawa waarabu wakikubaliwa kuna kwá huu mkataba mbovu kabisa waislam watafaidika na nini? Au kuna mambo yako nyuma ya pazia ambayo hatuyajui?
 
Hapana kabisa. Hakuna shida yoyote kwa mtu kuwa Muislam. Shida ni wale wajinga waliopo huko ndiyo Majasiri waliojivika taswira ya dini. Hao ndiyo wametawala platforms zote na kuwanyima kabisa wengine kuonekana.
Unataka kusemaje hapo .......maana sijakupata vizuri.............ujue watu wote mnaofata utamaduni wa mwarabu mna tatizo kubwa kwenye oblangata.........shule hamna harafu mnapinga kwa kutumia male mba badala ya shule........kama ujafika University hapo uwezi kugundua kama uwekezaji bandari ni mtego wa kuku............madrasa haiwezi kupambanua mikataba mikubwa hivyo
 
Duh!
Upo sahihi, ni kweli.
 
Dini yangu naona hawana hoja kabida zaidi ya umbea. Hivi Dkt Magufuli angekuwa na udini angemchagua Samia kuwa Makamu wake. Hivi inakuwaje rais anapokuwa muislamu udini huibuka?
Nadhani huu ni utaratibu waliojiwekea CCM, hakufanya hivyo kwa hiari
 
Back
Top Bottom