Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Hapa na mimi naanza kuwa na mashaka na nia ovu iliyo ktk mkataba wa DPW. Maana yeyote anayepinga wanappinga mkataba haongelei mkataba badala yake ni kushambulia watu.

Hapa suala ni Je mkataba una kasoro au hauna kasoro hii Ndiyo iwe hoja.

Lakini hadi sasa kwa maelezo ya wataalamu wa sheria TLS, wasomo wa sheria (Shivji), Kamati ya sheria ya bunge, na Mahakama wote hao ambao wanaaminika ktk jamii wameona kuwa mkataba una kasoro.

Hivyo wanaotetea mkataba tujijadili watu bali tujadili kasoro au ubora.
Usiwalishe maneno tls wao wanasema mkataba uko ok hauna shida
 
Tukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.

Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
ESCROW siyo mkataba ni wizi unaohusisha watu wachache, lakini mkataba unahusisha vizazi vyote vya Tanganyika kuwa watumwa wa waarabu wa Dubai milele.
KIFUPI:- Tanganyika imeingizwa kwenye slavery MILELE.
NB
Ingekuwa ni wizi unaofanana na huo basi hoja yako ingekuwa na mantiki. Hivyo, uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana, Kwasababu unafananisha vitu visivyofanana.
 
Wanaacha kujadili Waislamu kukaa jela kwa kesi za kubumba, wanajadili waraka
 
Huwa nikiwaambia Muislam Hana Akili, muwe mnanielewa.

Hawa wanaelimu ya udini inayowaambia ,Nje ya Uislam wee ni kafiri, na kwamba ,unatakiwa kufaaaaa hata Kwa kujilipua kumtetea Muislam mwenzako.

Siunaona Sasa ? Hapa tunazungumzia Mkataba, wao wanaleta habari ya Samia, ana huruma, Mara Magufuli katili.

Sawa Magufuli katili, je angeruhusu Huu Upumbavu wa DPW???.

Hawa watu ni wajinga sanaa
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda
 
Wanavyozidi kumtetea ndio wanavyozidi kuharibu, si bora kukaa kimya unamponda magu mdini alafu unamtetea tena mtu wa dini yako huu ni upuuz na kutokuwa na akili, na ni udini wenyewe
Inauma mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda
 
Wanasema matamko yanatolewa yana maslahi Kwa TEC anatolea mfano LGBTQ Kuwa TEC hawakutoa tamko kwakua Wana maslahi kwao
Akili yako ndogo sana.
Kwani LGBTQ inao uwezo wa kuwahamisha wamasai wa LOLIONDO na kuwafanya watanganyika wote WATUMWA kama ilivyo DP WORLD?, LGBTQ haina uwezo wa kuwalazimisha watu kuwa watiifu kwao, lakini mkataba wa DP WORLD unao uwezo huo.
Na si kazi ya TEC, kutoa waraka kwa vikundi vya dhambi ambavyo watu wanajiunga kwa hiari yao. Isipokuwa kazi ya viongozi hao ni kukemea matendo yote maovu ikiwemo kukemea uhamasishaji wa matumizi ya KONDOM.
 
Sheikh Mussa Juma amesema Wapinzani na Maaskofu wanaomsaka Rais Samia Suluhu Hassan hawana shukrani wanaendekeza Udini na maslahi yao binafsi nakusahau hisani waliyowafanyia kipindi walipokuwa hawana kitu.

Akizungumza huko visiwani Zanzibar katika mawaidha Sheikh Mussa Juma amesema Rais Samia ni kiongozi wenye huruma na uadilifu ndani yake hivyo wanaomsakama wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi.

"Hapa kwetu ndio kabisa madudu haya ya kisiasa sijui wakina Mbowe kina Lissu waliyoyaficha ndani ya mioyo yao yalikuwa ni makubwa zaidi kuliko wanayoyadhihirisha, angalia sasa hivi wanavyotapika maneno yale angalia ni udini tu ule, kama huyo Dkt. Slaa yeye ndio kamaliza mchezo mmemsikia mwenyewe Udini tu ule hakuna kitu kingine Udini tu..sasa yale ndio yaliyokuwa yamejificha hawana shukrani hata kidogo" alisema

Sheikh Mussa Juma amesema Rais Samia ni mtu mwenye imani wanaomuanda wanapaswa kumshukuru na kumheshimu kutokana nakuwafanyia hisani kwa kuwarejeshea vitu vyao walivyopoteza kipindi cha awamu ya Tano.

"Alikuwepo Magufuli kawanyongesha watu, kawaadhibu watu, kawatesa watu hawana hatia wamenyamaza kimya, Mwenyezi Mungu kafanya Rehema zake katuletea mtu ana imani watu wanaishi kwa raha , watu wanapendana, wanasaidiana, mnyonge anasaidiwa leo hawa wakina Mbowe, Lissu hawana Shukrani mtu kama huyo alowafanyia hisani kama huyu Lissu alipofanyiwa mambo mazito mtu wa kwanza kwenda kumtizama ni Rais Samia wale waliobakia wote maaskofu ambao sasa hivi ndio wanamtukana Samia kwa sababu ya uislamu hakuna kingine na maslahi yao waliyokuwa wanaipata kwenye ile bandari wanamsaka hawana shukrani wote hao maaskofu walikuwa wameufyata wanamuogopa Magufuli , lakini tazama alichomfanya Rais Samia kamlipa kila kitu chake kamrejeshea ambavyo alikuwa kanyang'anywa na huyo Mbowe hivyo hivyo kila kitu chake karejeshewa kalipwa pesa chungu mzima ambazo zingewasaidia wananchi , Rais Samia anaonyesha huruma kwa rai wake alafu hawa wanakuja juu wanamtukana na kumkashifu kwa maslahi yetu wenyewe sisi wananchi lakini kwa sababu wao kuna maslahi yao ya dini pale wanahisi atakuja kuondoka , pamoja na maslahi yao walikuwa wanapitisha vitu pale...." alisema Sheikh huyo

Pamoja na yote Sheikh Mussa dunia ilipofikia sasa mambo mema yanaonekana mabaya huku mabaya yakionekana mema hata hivyo amemuomba Rais Samia aendelee kuishi maisha marefu kutokana na uadilifu na huruma alionao katika uongozi wake.

"Mbona mambo sasa hivi yanaanza kuchimbuka yaliyokuwa yamejificha na sisi ndio tunayasubiri kwa hamu kwa sababu tulipokuwa tunasema nyinyi mlituona sisi wabaya lakini sasa hivi Mwenyezi Mungu anayachimbua, mmemsikia Slaa alivyosema nyie waislamu mmekaa tu mmemsikia na uislamu wenu mnasikia wanavyomfanyia muislamu mwenzenu wanavyomwandama, wanaranda kwenye mikoa kwa kutumia pesa hizi hizi wanazopewa zetu wenyewe kama rai wanamsakama Mhe. Rais Samia lakini Mwenyezi Mungu atamuhifadhi, atamlinda na shari zao ataendeleza uadilifu, ni Rais pekee aliyekuwa hana mfano na waliyokuwa wamepita mwenye huruma mpaka na vilema tunamuombea dua na tutazidi kumuombea sasa kama wewe unanuna nuna"_ Sheikh Mussa Juma akizungumza msikitini Zanzibar
Hivi tatizo hasa kwa IGA kati ya Dubai na Tanganyika ni lipi kati ya hizi:
1. Udini?
2. Uarabu?
3. Baadhi ya vifungu vya iga vya kimangungo flani hivi?
4. Wajomba kupewa bandari zetu buuureee?
5. Mafisadi wetu kakatiwa mirija yao?
6. Kumuonea gere mbeijini wetu anavyofanikiwa kila kitu anachofanya?
 
Mkungune
Kwanza ni kosa kumuita eti ni Shekhe,ungesemaganga wa kienyeji ungeeleweka zaidi
 
Sheikh Mussa Juma amesema Wapinzani na Maaskofu wanaomsaka Rais Samia Suluhu Hassan hawana shukrani wanaendekeza Udini na maslahi yao binafsi nakusahau hisani waliyowafanyia kipindi walipokuwa hawana kitu.

Akizungumza huko visiwani Zanzibar katika mawaidha Sheikh Mussa Juma amesema Rais Samia ni kiongozi wenye huruma na uadilifu ndani yake hivyo wanaomsakama wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi.

"Hapa kwetu ndio kabisa madudu haya ya kisiasa sijui wakina Mbowe kina Lissu waliyoyaficha ndani ya mioyo yao yalikuwa ni makubwa zaidi kuliko wanayoyadhihirisha, angalia sasa hivi wanavyotapika maneno yale angalia ni udini tu ule, kama huyo Dkt. Slaa yeye ndio kamaliza mchezo mmemsikia mwenyewe Udini tu ule hakuna kitu kingine Udini tu..sasa yale ndio yaliyokuwa yamejificha hawana shukrani hata kidogo" alisema

Sheikh Mussa Juma amesema Rais Samia ni mtu mwenye imani wanaomuanda wanapaswa kumshukuru na kumheshimu kutokana nakuwafanyia hisani kwa kuwarejeshea vitu vyao walivyopoteza kipindi cha awamu ya Tano.

"Alikuwepo Magufuli kawanyongesha watu, kawaadhibu watu, kawatesa watu hawana hatia wamenyamaza kimya, Mwenyezi Mungu kafanya Rehema zake katuletea mtu ana imani watu wanaishi kwa raha , watu wanapendana, wanasaidiana, mnyonge anasaidiwa leo hawa wakina Mbowe, Lissu hawana Shukrani mtu kama huyo alowafanyia hisani kama huyu Lissu alipofanyiwa mambo mazito mtu wa kwanza kwenda kumtizama ni Rais Samia wale waliobakia wote maaskofu ambao sasa hivi ndio wanamtukana Samia kwa sababu ya uislamu hakuna kingine na maslahi yao waliyokuwa wanaipata kwenye ile bandari wanamsaka hawana shukrani wote hao maaskofu walikuwa wameufyata wanamuogopa Magufuli , lakini tazama alichomfanya Rais Samia kamlipa kila kitu chake kamrejeshea ambavyo alikuwa kanyang'anywa na huyo Mbowe hivyo hivyo kila kitu chake karejeshewa kalipwa pesa chungu mzima ambazo zingewasaidia wananchi , Rais Samia anaonyesha huruma kwa rai wake alafu hawa wanakuja juu wanamtukana na kumkashifu kwa maslahi yetu wenyewe sisi wananchi lakini kwa sababu wao kuna maslahi yao ya dini pale wanahisi atakuja kuondoka , pamoja na maslahi yao walikuwa wanapitisha vitu pale...." alisema Sheikh huyo

Pamoja na yote Sheikh Mussa dunia ilipofikia sasa mambo mema yanaonekana mabaya huku mabaya yakionekana mema hata hivyo amemuomba Rais Samia aendelee kuishi maisha marefu kutokana na uadilifu na huruma alionao katika uongozi wake.

"Mbona mambo sasa hivi yanaanza kuchimbuka yaliyokuwa yamejificha na sisi ndio tunayasubiri kwa hamu kwa sababu tulipokuwa tunasema nyinyi mlituona sisi wabaya lakini sasa hivi Mwenyezi Mungu anayachimbua, mmemsikia Slaa alivyosema nyie waislamu mmekaa tu mmemsikia na uislamu wenu mnasikia wanavyomfanyia muislamu mwenzenu wanavyomwandama, wanaranda kwenye mikoa kwa kutumia pesa hizi hizi wanazopewa zetu wenyewe kama rai wanamsakama Mhe. Rais Samia lakini Mwenyezi Mungu atamuhifadhi, atamlinda na shari zao ataendeleza uadilifu, ni Rais pekee aliyekuwa hana mfano na waliyokuwa wamepita mwenye huruma mpaka na vilema tunamuombea dua na tutazidi kumuombea sasa kama wewe unanuna nuna"_ Sheikh Mussa Juma akizungumza msikitini Zanzibar
Akae kwa kutulia huyo sheikh.kazi ndo Kwanza inaanza. Taifa linakombolewa hivi sasa. Ujinga sasa basi
 
Huyo shekhe ndio mdini, anasema akina mbowe hawana shukrani ni wabinafsi alitaka wakae kimya pale mwanasiasa mwenzao kavurunda kwa kuwa aliwafanyia hisani? Kama vipi mashekhe nao watoe waraka wao tujue hekima na upuuzi viko wapi, nani ni wadini. Shekhe aache kumfunika mwanasiasa kwa koti la udini kuficha uvurundaji wake kwenye mkataba wa bandari
 
Kwa hiyo kumbe mnatega Rais kwenye vita vya kidini. Sasa hamfai nyie au hafai Samia?

Kama Mkristo na Mkatoliki nasema hapa rasmi. Nitampigia kampeni Samia awe Rais 2025- 2030.

Kumbe ndo maujinga mnayoyafanya eeeh!! Tumewashtukia
Utampigia kampeni kwa akina nani?, Wewe sema kuwa utampigia kura ya NDIYO. Habari ya wengine haikuhusu Kwasababu KURA ni SIRI YA MPIGAJI.
 
Back
Top Bottom