Hapa sasa tumefika patamu. Watawala watajua huu mkataba ni Dubai ni PEPO. Sasa watake wasitake watauepuka. Wanaowapenda Waarabu walipiwe tiketi waende wakaishi DubaiNaona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.