ABED HAMIS
Member
- Feb 17, 2020
- 35
- 44
Tec ningewaona wa maana endapo wangeshauri urekebishwaji wa baadhi ya vifungu ambavyo havina tija kwa taifa, mathalani ukomo wa mkataba. Lakini wao wameshupaza shingo kwamba hawautaki kabisa sasa sijui kuna nini nyuma ya paziamtu alie soma hutumia logic