@Zawadini si ajabu kuwa majibu hapo juu huna. Bila shaka umejua kuwa kumbe huu si mjadala wa kidini, kiitikadi wala kikanda.
Tambua masheikh uchwara na wafuasi wao wanawakosea sana waislam.
"Ama kwa hakika pana waislam wengi tu wako na watumishi kama huyu