Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
🤣🤣🤣🤣Wameusoma na mkataba wenyew bas!!!Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
MUNGU akubariki saaaaaana saanaNingewaona wa maana sana kama wangejadili hoja za kwenye tamko la TEC against vipengere vya mkataba. Wao wanona tamko lataleta taharuki, wakati wengine wanaona mkataba ndo umeleta taharuki..!!!
Yafuatayo yanaonyesha mkataba umeleta taharaki;
1. Kukamatwa kwa wakosoaji eg.Dr.Slaa, Mdude na Mwabukusi
2. Kukamatwa kwa makosa ya uchochezi, na mara wakawa wahaini
3. Uhaini ambao hauna dhamana, leo hii wanaotuhumiwa kwa uhaini wamepata dhamana.
Binafsi napenda hii ngoma iendelee hivihivi...maana ni kitu ambacho kimekua kikitengenezwa kwa muda mrefu sana. Ngoja kipasuke tu.Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais
Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025
Byebye Samia
AminaMUNGU akubariki saaaaaana saana
Wapeleke ujinga wao huko asee...Tusifike huko, tujadiliane Kwa upole
Nawasikiliza hapa kuna jamaa anawaponda TEC km anawajua vile kumbe anawasikia tu
Tumemaliza kipindi tayariiiiiiiMasheshe wetu wasisahau kujadili na mapungufu ya mkataba kipi kiboreshwe kwa faida ya nchi.
Tumemaliza bila hitimishoNimeweka kambi hapo
Tunahitimisha vipi wakati hatukua na agenda wala hoja?Tumemaliza bila hitimisho
Anasema yeye amesoma Political scienceNawasikiliza hapa kuna jamaa anawaponda TEC km anawajua vile kumbe anawasikia tu
Serikali ya Tanzania ilishawahi kutunga sheria ya kuwatambua LGBT mpaka TEC watoe matamko?Wanasema matamko yanatolewa yana maslahi Kwa TEC anatolea mfano LGBTQ Kuwa TEC hawakutoa tamko kwakua Wana maslahi kwao