Uchaguzi 2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

Status
Not open for further replies.
Ndio hivyo, hata alieleta Uzi sio huyu wameshabadilisha.

Hahaha
 
Hakuna watu ni wadini kama hawa,hiyo takwimu wakati wa kikwete,na mwinyi hawajaileta,kwanza ni udini na agenda chafu inawasumbua ndo maana wanahesababu hadi teuzi za ukuu wa wilaya wakristo na waislamu ni wangapi,.

Wewe mzee ni mdini sana sijawahi kuona
 
Ondoza,
Hapana haukufanyiwa mchujo soma niliyoandika nimesema kuwa katika yanayonisikitisha ni hili la UDOM.

Hapo nikaweka kipande hicho na link ya waraka wote ipo hapo.
 
Viol,
Ukiwa umesoma hizo takwimu za 20:80 na ukaona ni sawa kuwa hivyo hapana neno.
 
Hapo kwenye wahadhiri 11 wa chuo kuhamishwa na wote ni waislamu na wengine 11 kuigozwa na ni wakristo hapo ndo kuna utata,na sidhani kama kuna coincides hapo .

Lakini kwa teuzi kama za wakuu wa wilaya ,mikoa na wakurugenzi tusiiingize udini maana zile nafasi ni za uteuzi ,na katiba ndo imempa mamlaka
Viol,
Ukiwa umesoma hizo takwimu za 20:80 na ukzona ni sawa kuwa hivyo hapana neno.
 
Jamaa wa shura wamechomoa, hawahusiki na huu waraka. Mleta uzi twambie umeutoa wapi huu waraka
 
Jamaa wa shura wamechomoa, hawahusiki na huu waraka. Mleta uzi twambie umeutoa wapi huu waraka
Bush,
Kwangu mimi muhimu si nani kautoa muhimu ni yale yaliyoandikwa ni kweli?

Ukiniuliza kama nakuabaliana na waraka jibu langu ni ndiyo na kwa kweli naweza kusema mimi ni mmoja wa Waislam ambae nimeandika sana kuhusu kubanwa kwa Waislam.

Nimesikia kuwa Sheikh Kundecha kaukana lakini sijapata kusoma popote kauli yake.

Ikiwa una link amezungumza hayo nirushie.

Waraka uko mtandaoni toka jana.
 
nimesoma uzi mara mbili 2 nimekosa cha kusema, lkn naweza kusema kuwa hupaswi kuzungumza kama hujafanya utafiti.
 
Wanaoturudisha nyuma ni ninyi wavivu wa kusoma na kufanya kazi

Ninyi ni watu wa vibarazani na kunywa kahawa tu miaka yote.
Unataka tufanye nini? Tunakunywa kahawa na kukaa barazani kucheza bao maana wakumtuma wewe upo eti. Tunawajengea miji na kuwatuma, nyie kaeni mjisifie mnachapa kazi kisa mnatumia nguvu, sisi tuatumia akili na tunashika pesa.

Soma mpaka uwe profesa, ukimaliza utumwe na mtu aliekuwa hajasoma, hapo ndio utaelewa. 😀
 
Nakubaliana na Waraka lakini nasubiri tamko la BAKWATA kwanza.
 
Hakuna aliyepigania uhuru ili watoto wake na wajukuu wake na watu wa imani yake wawe watu daraja la pili.

Yaani wanyimwe ajira na fursa sawa ya kutumikia nchi yao kwa sababu ya dini yao

Hizi takwimu za 80% kwa 20% ni. mwendawazimu peke yake au mdini aliyekubuhu anayweza kusema hii iko sawa.

Leo ungekuwa na raisi mwislamu halafu teuzi zikalalia kwa waislamu yaani 80% waislamu halafu 20% wawe ni Wakiristo, Makanisa yote ya Walokole hiyo ndo ingekuwa stori, barua za kichungaji zisingekatika, humu Mitandaoni Wakiristo wangechonga sana. Yaani nchi isingetawalika!
 
Ondoza,
Hapana haukufanyiwa mchujo soma niliyoandika nimesema kuwa katika yanayonisikitisha ni hili la UDOM.

Hapo nikaweka kipande hicho na link ya waraka wote ipo hapo.
Uzi sasa umewekwa sawa.
 
Hizi Nondo kali sana ndiyo maana amekamatwa
 
Sijasoma, Ila najua ni points tupu zimezungumzwa humo
 
duh !
mzee kama walaka wenyewe ndio huu hapo kwa kweli hawakuachi salama pambana 🖐
 
nimesoma uzi mara mbili 2 nimekosa cha kusema, lkn naweza kusema kuwa hupaswi kuzungumza kama hujafanya utafiti.
Zand...
Utafiti umefanywa na kwa kweli hali ya Waislam huhitaji utafiti mkubwa sana.

Chembelecho Mzee Aboud Jumbe, "Utawaona kwa kutowaona katika nafasi zote."

Hali yetu kama jamii inafahamika na hii si mara ya kwanza kusambaza taarifa mfano wa hii.

Mwaka wa 1981 waraka kama huu ulisambazwa kwa Waislam Warsha kuhusu elimu katika vyuo kuonyesha kuwa Waislam idadi yao ni ndogo chini ya asilimia 10.

Hili liliketa hekaheka kubwa sana na huu utafiti ulifanywa na vijana waliokuwa BAKWATA.

Wote walifukuzwa BAKWATA.
 
sasa kama waumini wa dini moja wote ni wataalam hawa wengine kwa bahat mbaya wamekosa elimu kwa hio wapewe tu nafasi jaman haya mambo ya kumpa mtu nafas kwa kigezo cha dini hayana tija na wasio kuwa na dini wasemeje
Antipas,
Unabadilisha kauli.

Tatizo si hilo.

Ungejiuliza kwanza iweje miaka yote ya uhuru Waislam hawajasoma?

Soma baadhi ya post zangu utaelewa nini waraka umesema.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…