Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
kama sio mbaguzi na mchochezi basi umetumwa na pondapondahapana kaka mimi sio mbaguzi na wala siwezi kuwa mbaguzi. Am an enligghtened person. Ubaguzi is for low lives
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?
1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.
( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )
Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.
MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.
NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.
Nakuoongezea na mengine Kassim na Isihaka. But
Mtoto Iddy .............Juma Nature ni muislamu na umetoka kipindi hicho hakuna vuguvugu la udini Tz.
Masudi ..............Msondo Ngoma/Sikinde: Asilimia kubwa ya waimbaji wakuu kwenye hizo bendi ni waislamu, waimbaji viongozi kwenye hizo bend pia ni waislamu/ nyimbo hizo zimetoka kipindi hicho hakukuwa na upepo wa udini Tz kama uliopo hivi sasa. Sasa hivi udini umewaingia sana watz kiasi huko mashuleni mwalimu wa dini moja akimpa adhabu ya viboko mwanafunzi wa dini nyingine, inaweza kutafsiriwa kama udini. Naamini kama Jide angekuwa muislamu, beef yake na Ruge ingeweza kutazamwa katika sura ya udini
wee ni mpuuuzi tu ambaye umejaa udini , hii ni kazi ya sanaa hata waislamu wanajua , hawo waislamu wachache wenye uelewa mfupi kama wako hatuwezi wazungumzia hapa.Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?
1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.
( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )
Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.
MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.
NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.
Hakuna enlightened person type yako, jaribu kubadilika Jenga Taifa usiwe mbomboa taifakama sio mbaguzi na mchochezi basi umetumwa na pondaponda