WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

Tukijdanganya na kukusikiliza kwa hili kesho utakuja kutuambia kwa sababu ya vuguvugu la udini judge Mohamed asimhukumu mtuhumiwa John au afande Jacob asimtie nguvuni mshtakiwa Hassan.
Nadhani unatania haupo serious vinginevyo una agenda ya kutibua suala la udini amabalo limepungua/linataka kupungua kasi.
Ila pia nikujulishe kuwa hii nyimbi sii ya kidini. Ingekuwa imeimbwa kanisani na kwaya/mwimbaji wa injili ungekuwa na hoja. Ila hapa sincerely umepotoka
 
hapana kaka mimi sio mbaguzi na wala siwezi kuwa mbaguzi. Am an enligghtened person. Ubaguzi is for low lives
kama sio mbaguzi na mchochezi basi umetumwa na pondaponda
 
Waislamu ndugu zetu mjiamini basii khah,..ona sasa jna tu la wimbo mnataka kuzua vurugu,jide mkristo lakn sidhan ht km church anaenda so mcje singizia anafanya on behalf of wakristo wenzie....ts js a name for jmn,js let it go
 
iv we jinsia gan?bahati mbaya j.f wengi wasomi nikisoma waraka wako nshajua akili yako inachotaka.pole sana
 
Sioni point apoo au nijinaa lakoo nini bobi jina linauhusiano gani nadini na ata ivo kinacho ongelewa kwenye wimbo haki husiani na din so y iwee unalala mikaa au nawee unawahishaa kukuza vitu vidogo vidogo kuwaa jangaa sioni mbayaa yake jidee na ndoo naona walimwengu hawakosi lakuongeaa ??
nakawimbo kashachujaa kitamboo tu ni ya mwakaa huu lakini ukikasikilizaa tu utazani ni chaa ya miaka ya tisini kuleee? Bongoo banaaa aaahaa???
 
Dah yani ningekua karibu ningekupiga ngumi nyie ndo wachonganishi na waaribu amani, mse... wewe
 
Yahaya si jina la kiislam,majina hayo yote yalikuwepo kabla ya uislam,kumbuka hata Saudia kuna wakristo,lakini hawaitwi John au Samuel nk,wanatumia majina hayo ya asili,waziri mmoja toka serikali ya Irak,alikuwa akiiitwa Tareck Aziz,ijapokuwa ni mkristo,kwa taarifa tu,majina yamekuwapo kabla ya ujio wa dini zote.
 
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.

Stupid udini utakusaidia nini wewe.....usituharibie nchi mkuu.
 
Go go go Jide mwaka wako huu kila la heri .
 
Nakuoongezea na mengine Kassim na Isihaka. But

Mtoto Iddy .............Juma Nature ni muislamu na umetoka kipindi hicho hakuna vuguvugu la udini Tz.

Masudi ..............Msondo Ngoma/Sikinde: Asilimia kubwa ya waimbaji wakuu kwenye hizo bendi ni waislamu, waimbaji viongozi kwenye hizo bend pia ni waislamu/ nyimbo hizo zimetoka kipindi hicho hakukuwa na upepo wa udini Tz kama uliopo hivi sasa. Sasa hivi udini umewaingia sana watz kiasi huko mashuleni mwalimu wa dini moja akimpa adhabu ya viboko mwanafunzi wa dini nyingine, inaweza kutafsiriwa kama udini. Naamini kama Jide angekuwa muislamu, beef yake na Ruge ingeweza kutazamwa katika sura ya udini

wewe ndo mdini, jaribu kufikiri vizuri uwe na mtazamo tofauti wenye kuleta tija na usiseme u are enlightened sisi ndo tunaona kama upo hivo au lah.THINK BIG.
 
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.
wee ni mpuuuzi tu ambaye umejaa udini , hii ni kazi ya sanaa hata waislamu wanajua , hawo waislamu wachache wenye uelewa mfupi kama wako hatuwezi wazungumzia hapa.
 
Back
Top Bottom