WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

LIKUD:
Hiyo ni Parception yko tu.. Ila yawezekana mawazo yko yakaanzisha kile kilichokua hakipo... Burudan huwaleta watu weny itikad tofaut pamoja ila sasa ulichoongea ungekua ni mtu mweny influence km Lipumba au ponda (mfano) ungeiharibu nchi.
 
Mbona hukuwahi kushauri waliomba mfano Razia wangu wewe number one. Fatuma ule wa bakurutu wa shauri yako
 
udini kila sehemu, kuna siku tutapiga marufuku ushuzi wa mtu aliyekula kitimoto sasa

inaboa sana hii stupidity
 
Mimi ni Muislaam lakini sioni tatizo hapo. Kama ameutukana Uislaam au amemtukana Mtume Yahya au Issa au Ibrahim, hapo tutakomaa nae, lakini kama anamsifia mpenzi wake aitwae Yahaya. Sioni tatizo, mwache ajifaraguwe.
 
atakuwa katumwa na Ruge huyu

Mbona mnampa Ruge cheo kikubwa hivyo? U blame hm for everythin that goes wrong? Cum on hicho ni cheo cha Lucifer. Think brother and dont just say Ruge
 

Mkuu, naheshimu sana Mawazo yako!

Binafsi sioni kama kuna tatizo hapo, ingekua mbaya kama ni video halafu inaonesha mambo ambayo yanagusa imani moja kwa moja!...kwa mfano kuhusisha Holy Quran (Kitabu), Jeneza, Maziara, Msikitini nk.

Weka "Audio" tusikie mashahiri yake ili tusafiri pamoja katika mawazo yako!
 
Mimi ni Muislaam lakini sioni tatizo hapo. Kama ameutukana Uislaam au amemtukana Mtume Yahya au Issa au Ibrahim, hapo tutakomaa nae, lakini kama anamsifia mpenzi wake aitwae Yahaya. Sioni tatizo, mwache ajifaraguwe.

Hajautukana uislamu, wala sidhani kama alikuwa na nia ya kuutukana uislamu but ametumia jina la kiislamu kumzungumzia mtu mwenye tabia mbaya katika jamii, kwa mtazamo naona hii inaweza kumletea matatizo na baadhi ya waislamu, so nikiwa kama shabiki wake , nimeshauri abadilishe hilo jina la wimbo atafute jina lingine ambalo halitumiwi na waislamu au wakristo. Unaweza kucheki mashairi hapa kaka:

Lady Jay Dee: YAHAYA - LYRICS (By Lady JayDee)
 
hakika wewe ndio m-baguzi inaonekana hata kusalimia mtu lazima umjue ni wadini gani? Kwahio unataka jide kwa vile ni msabato aimbe nyimbo za kisabato kwa wasabato?
 

Soma mashairi hapa : Lady Jay Dee: YAHAYA - LYRICS (By Lady JayDee)

Video bado haijatoka nadhani, but kama unaamini hilo halina tatizo kwa waislamu, then its okay, i w as just worried about her
 
hakika wewe ndio m-baguzi inaonekana hata kusalimia mtu lazima umjue ni wadini gani? Kwahio unataka jide kwa vile ni msabato aimbe nyimbo za kisabato kwa wasabato?

Kabla hujatoa komenti yako its better usome kwa makini na kuielewa vizuri thread. Please soma tena kwa makini thread yangu
 
udini kila sehemu, kuna siku tutapiga marufuku ushuzi wa mtu aliyekula kitimoto sasa

inaboa sana hii stupidity

kaka umeielewa lakini thread yangu
 
as practice muslim ni jukumu langu kuona tatizo..

naongelea nyimbo ya Mr. paul zuwena ...

majina si kigezo cha uislam

Huo wimbo ulishaimbwa zamani, mr.paul alifanya kuurudia tu. Hata hivyo huwezi kufananisha maudhui ya wimbo wa zuwena na huu wa yahaya, coz kwenye wimbo wa zuwena mr.paul anazungumzia namna alivyo shtushwa na taarifa za ajali ya mchumba wake aitwaye zuwena. but huu wa yahaya , jide ambaye ni mristo anazungumzia tabia mbaya zinazo fanywa na mtu ambaye ana jina la kiislamu, not the fact that wimbo umetoka katika kipindi hiki ambapo ishu ya udini Tz iko vey sensitive
 
Mbona hukuwahi kushauri waliomba mfano Razia wangu wewe number one. Fatuma ule wa bakurutu wa shauri yako

Tofautisha maudhui ya wimbo wa Razia , Fatuma na wimbo wa Yahaya
 
unalazmisha kilichopo kichwani mwako kiwe majibu,umesahau mtoto iddy,radhia n.k

Maudhui ya wimbo Radhia ni tofauti na maudhui ya wimbo wa Yahaya. Wimbo wa mtoto Iddy umeimbwa na muislamu na umetoka mwaka 2004 wakati huo tz tatizo la udini halikuwa sensitive kama lilivyo sasa. Nadhani nimeshakujibu hili una kichwa kigumu sana kuelewa. Please open ur mind
 
[B said:
Lazaro[/B] john;6560206]sasa unatangaza udini au? mbona ueleweki

Walaumu wazazi wako kukuita jina Lazaro. Lazaro maana yake mtu masikini,. Bahati mbaya umasikini wako upo hadi kwenye ufahamu wako. Unashindwa vipi kuelewa content ya thread yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…