WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA




i do respect you, the fact is you are my brother in Islam , anyways my case is settled ... just don't be too sensitive kwa issue zisikuwa na maana kama hizi esp. majina ... ni ushauri tu! muslims we have issues nyingi sana to worry about ...

you have good day
 
LIKUD:
Hiyo ni Parception yko tu.. Ila yawezekana mawazo yko yakaanzisha kile kilichokua hakipo... Burudan huwaleta watu weny itikad tofaut pamoja ila sasa ulichoongea ungekua ni mtu mweny influence km Lipumba au ponda (mfano) ungeiharibu nchi.

Umeona eeh
 

Mimi ni mkatoliki. Am just an open minded person
 
jide ana blog yake unaonaje hii post ungemwandikia kule facebook kwene wall yake?
 

guaranteeing employee time off to pray,rules mandating thy following of strict family laws of marriage,divorce and inberitence,the restriction of millitary and political offices to muslims,thy use of islamicate language and arabic script as well as a financial support for mosques and islamic schools.,islamic solidarity.islam is a lifestyle.
 

Sijakusoma hapo mtu mzima
 
-Mkuu LIKUD, ninasikitika kusema ya kuwa, katika hili huna HOJA YOYOTE YA MSINGI! Nimeenda mbali kwa kukuchukulia ya kuwa wewe ni mfitini, mchonganishi na MDINI usiyefaa kuigwa! Siku zote "mwanzo wa makubwa huwa ni madogo", umeanza na hili, kesho utatuletea la UCHINJAJI ukidai limesahaulika kwenye rasimu ya katiba! Wewe ni tatizo, jichunguze mkuu, achana na kitabia hiki kibovu cha kulia lia tu ukiamini dini fulani haitendewi haki, huu ndio uhochezi wenyewe! Naomba kuwasilisha nikiwasihi na wengine wenye tabia hii waache mara moja!-
 
aiseee great thinker bwahahahahahah
 
Soma mashairi hapa : Lady Jay Dee: YAHAYA - LYRICS (By Lady JayDee)

Video bado haijatoka nadhani, but kama unaamini hilo halina tatizo kwa waislamu, then its okay, i w as just worried about her

Mkuu, ahsante kwa hicho kiungo! Nimesoma na kwa maoni yangu ninaona hakuna tatizo kwenye imani, jina ni kama majina mengine tuliowahi kuyasikia huko nyuma! mfano:- Masoud, Idd, Latifa, Amina nk
 

Kaka hapa kitu cha msingi ni kumshauri Ladyjaydee abadilishe jina la wimbo, hayo mengine yote ni blah blah blah tu, kwanza mimi sio muislamu
 
Mkuu, ahsante kwa hicho kiungo! Nimesoma na kwa maoni yangu ninaona hakuna tatizo kwenye imani, jina ni kama majina mengine tuliowahi kuyasikia huko nyuma! mfano:- Masoud, Idd, Latifa, Amina nk

Its okay but tuombe Mungu watu wote wawe na mtazamo kama wa kwako.
 
Mbona aliimba siwema haikua shida,tumewachoka sasa na nyie,kitimoto mle alafu jina liwe ni tatizo????

Siwema sio jina la kiislamu wewe, halafu ni wimbo uliokwisha imbwa zamani, unahusiana na masuala ya kimapenzi, but Yahaya, ni tofauti sana. Anyways,huu ni ushauri wangu tu kwake kama mshabiki wake.
 

...acheni mambo yako ya udini,inaonekana wewe si mtanzania
 

Tabia mbaya ipo kwa wote tu wenye dini na wasio na dini, kama Yahaya anajijuwa anatabia mbaya na yeye ndio kaimbwa basi ajirekebishe. Sina haja ya kuisikiliza hiyo nyimbo uliyoibandika, sioni sababu.

Nina marafiki wengi sana wana majina Kiislaam lakini si Waislaam na wanaingia makanisani, mmoja wapo maarufu sana Dar., tena ukimuona ni shombe kabisa, anaitwa Abdallah na yeye ni Jehovah Witness mzuri sana, watu wa Jehovah wa Dar, wajitokeze hapa na waseme.

Huyo Dada, wala si wa kumlaumu, kama hajatukana wala hajalenga kuwatukana Waislaam, sioni tatizo.

Naona kama wewe ndio unaeianzisha fitna ya kijinga.
 
Mimi sio mfuatiliaji sana wa hizi nyimbo za ubongo wa fleva,najiuliza hakun wimbo ambao mwimbaji ni mwislamu na katumia jina la kikristo katika nyimbo yake?au hapa inshu ni kwamba yahya ni jina kubwa ingekuwa juma shwari?vinginevyo mleta mada ndio unachochea udini
 
Salaam aleikum likud
Umesema wewe ni mshabike jd napia ni muisilaam

Ss nataka kukuswalika swali hili. Je ni halali au haraam kusikiliza muzik wwte

Nijibu nitaendelea kukuswalika kwa mujibu wa quraan na hadith

Wakatabahu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…