WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

I cant say ur wrong but please Kimetah accord me some respect, u shall not put me in the same space as Ruge, i was just give my personal opinion. Didint u hear about what happened to JCB?
oooooo sory bro.what happened 2 him?
 
Hakuna sekeseke la udini kwenye nchi hii. Ila kuna kakikundi kanatumiwa ili kuleta chokochoko za kidini.
We bwana nahisi unatumia mihadarati.
 
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.

Mbona ni kawaida bro??,wewe ndo unataka iwe hivyo unavyodhani wew ulitaka jina gani litumike??,paulo au john??,hoja yako haina mantiki,Yahaya ni jina tu,na hiyo tabia ya yahaya aliyoizungumzia mbona kawaida tu
 
Wewe sio mshabiki wake sema watu kama wewe ndo mnaleta mambo ya udini, wewe ni Nyoka, ni hatari kuliko UKIMWI, mbona hukusema Juma Nature alipoimba Mtoto IDD?

Povu la nini kaka! Thread yangu umeielewa lakini? Juma Nature ni muislamu so kuimba kuhusu muislamu mwenzke haiwezi kuwa kwere, halafu wakati wimbo wa mtoto iddi unatoka mambo ya udini Tz hayakuwa kama yalivyo sasa. Anyways nimesha lijibu hili kaka
 
Sijaona tatizo hapo... As long hajagusa uislam aim ok... Kuna.kina yahaya wakristo... Mbona kuna nyimbo kama zuwena... Ahamada ... Etcl.. don't be sensitive hivo ..
 
Mbona ni kawaida bro??,wewe ndo unataka iwe hivyo unavyodhani wew ulitaka jina gani litumike??,paulo au john??,hoja yako haina mantiki,Yahaya ni jina tu,na hiyo tabia ya yahaya aliyoizungumzia mbona kawaida tu

Kaka nimefikiria nje ya box..wewe hilo unaliona kama jina tu but wenye dini yao wanaweza kwenda mbali zaidi na kuona kama dini yao inahusishwa hapo. They can raise issues like kwanini litumike jina la kiislamu and all that. Just relax and think critically and may be u will understand what am talking about
 
Sijaona tatizo hapo... As long hajagusa uislam aim ok... Kuna.kina yahaya wakristo... Mbona kuna nyimbo kama zuwena... Ahamada ... Etcl.. don't be sensitive hivo ..

Tatizo sio mpaka ulione ww, Zuwena ametajwa vipi kwenye huo wimbo?
 
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.

kwan waislamu hakuna wanaotenda maovu?waislam wangap wanacheza movie naktmia majina ya kikristo katika parts ambzo ni mbaya..,?

wewe ndo unachochea sasa.
 
Back
Top Bottom