WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

aha kumbe ni mkatoliki haya .. broda! mi muislam lakini sioni tatizo,,

siku njema
Nafurahi kusikia hujaona tatizo, but tuombe Mungu waislamu wote wawe na mtazamo kama wa kwako
 
Nimesoma mashairi ya huu Wimbo!haunashida kwa imani yoyote.ukihofia sana uchawi hata mjusi wa kawaida utahisi ni wa uchawi

Tunatofautiana ufahamu dada, ndo maana poor get poor and rich get rich
 
daaaah!!,wasomi wetu nao wana element za udini,kitu kidogo wanakiperceive kwa imani zao,hivii ukiwa nyutro kwani unapungukiwa na nn,mbona hoja iwepo kwa mwanadada huyu tu,hata kama wakina necha ni waislam lakini waislamu wenzao c wangekemea kwa kulitumia vibaya kwenye bongofleva jina lao takatifu,tuache ujinga jamani
 
Great thinkers hawajadili ujinga kama huu wa kwako ulioandika chooni wakati ukijisaidia haja kubwa.

Ungeuchambia na kuuacha huu ujinga huko huko chooni ulipokuwa.

Of course, hakuna atakayedai ana hisa kwenye thread ya kijinga kama kama hii.

Ichukue kabisa rudi nayo kule kule chooni ulipokuwa.

Unafanya nini sasa hapa? how can you contradict yourself in less than five sentensi. Ur not a GT but ur just assuming to be one. There is a very big diferent here. LOW LIFE
 
Great thinkers hawajadili ujinga kama huu wa kwako ulioandika chooni wakati ukijisaidia haja kubwa.

Ungeuchambia na kuuacha huu ujinga huko huko chooni ulipokuwa.

Of course, hakuna atakayedai ana hisa kwenye thread ya kijinga kama kama hii.

Ichukue kabisa rudi nayo kule kule chooni ulipokuwa.

daaaah!!,wasomi wetu nao wana element za udini,kitu kidogo wanakiperceive kwa imani zao,hivii ukiwa nyutro kwani unapungukiwa na nn,mbona hoja iwepo kwa mwanadada huyu tu,hata kama wakina necha ni waislam lakini waislamu wenzao c wangekemea kwa kulitumia vibaya kwenye bongofleva jina lao takatifu,tuache ujinga jamani

Kama umeusoma uzi wangu vizuri utakuwa umegundua kwamba mimi sio mdini na wala sijaleta udini hapa, isipokuwa nimeleta hoja ambayo ndani yake kuna suala la udini, hilo haliwezi kunifanya mimi mdini, unless otherwise you are telling me that haujaelewa content ya uzi wangu
 
Acha porojo tunga wewe wimbo uupe jina utakalo yahaya ni jina halina uhusiano na waislamu mbona mbunge wa nzega anaitwa Hamis Andrew......Hakuna mwenye miliki ya majina kuna john/yohana wengi tu waislam wewe lukid ndio mdini mkubwa ushindwe pepo we acha kutumwa na kina Ruge mbona mtoto idd,said mnyamwezi,masoud amekuwa jambazi haukusema? Iweje ije kukuuma kwa kusema yahya ni mtu wa magumashi?
 
Last edited by a moderator:
Kaka nimefikiria nje ya box..wewe hilo unaliona kama jina tu but wenye dini yao wanaweza kwenda mbali zaidi na kuona kama dini yao inahusishwa hapo. They can raise issues like kwanini litumike jina la kiislamu and all that. Just relax and think critically and may be u will understand what am talking about

Umefanya vizuri kuuleta huu uzi hapa ili upate michango kutoka kwa wadau mbalimbali, itabidi ukubaliane na jinsi watakavyochambua.

Binafsi nimekuelewa kwamba nia ni kuchukua tahadhari kutokana na kipindi tulichonacho au mambo yaliyotokea kuhusu mambo ya dini.
 
Asante sana kaka, wewe ndio umenielewa na nilitarajia kukutana na mawazo kama yako.
 
Acha porojo tunga wewe wimbo uupe jina utakalo yahaya ni jina halina uhusiano na waislamu mbona mbunge wa nzega anaitwa Hamis Andrew......Hakuna mwenye miliki ya majina kuna john/yohana wengi tu waislam wewe lukid ndio mdini mkubwa ushindwe pepo we acha kutumwa na kina Ruge mbona mtoto idd,said mnyamwezi,masoud amekuwa jambazi haukusema? Iweje ije kukuuma kwa kusema yahya ni mtu wa magumashi?

Kama umeusoma uzi wangu vizuri utakuwa umegundua kwamba mimi sio mdini na wala sijaleta udini hapa, isipokuwa nimeleta hoja ambayo ndani yake kuna suala la udini, hilo haliwezi kunifanya mimi mdini, unless otherwise you are telling me that haujaelewa content ya uzi wangu
 
ukweli ni kwamba,hamtakaa mwendelee daima kwa upumbavu huu wewe mwenye huu uzi na wenye mawazo kama ya kwako.yaani jina tu kwenye wimbo imekuwa ni issue? badala ya kufanya analysis kwenye mambo yamaana? hizo elimu ahera for sure zitawadidimiza milele.
 
Omary ni kazi gani unafanya! Kazi kujkuna tu ngwaraaa.. Ngwaraaaaaaa. Hili tangazo lilishawahi kumfanya ponda kutoa mapovu
 
Masudi amekuwa jambazi, ukikutana naye mjini mpitie kando....
 
we bwabwa usijifanye unaamlisha watu pa kuweka mawazo yao...otherwise kama unatafuta walume tukupige ukuni,maana umezidi kushoboka

Hebu wewe na wenzako onyesheni ubunifu basi...kwani hamna matusi mengine ya kunitukana zaidi ya bwabwa?

Is that all you got? Ho-hum!
 
unaweza kuwa na point...ila kazi ipo kama ndo huku tulikofikia.
 
hUYU JAMAA ANAHIAIBISHA JF MODE TOENI SEMINA KWA HAWA MAPUNGA ZEZE AKA VILAZA.
 
Back
Top Bottom