Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

wosia bomba sana Baba Koku! Hasa pale pa kudai haki na kutokukubali mapenzi yasimtawale na kumuumiza! Mwambie aunt yake nipo pia kwa ushauri zaidi anipm!
ahsante dada
 
Mie siku hizi nafuata nyayo zako tu Bishanga manake nahisi umeshukiwa na roho mtakatifu, mungu azidi kukuongoza kwa yale yaliyo mema!
we acha tu nuru imeniangazia ikaniambia haya mambo ya 'sisi wanaume bana' (source:Aspirin) niachane nayo nianze ku play fair.Tatizo kuna watu humu wameanza kufikiri mi mdada,du!
 
Huyo koku kama ana kichwa kizito vitakuwa vimeingia kulia, vikaenda kushoto. Lakini kama ana akili, mkuu umeandika mambo muhimu,tena ya sasa yanayotakiwa kuzingatiwa na mabinti wa sasa.
 
namtakia kila la kheri koku jaman.... she has such a great dady jaman anakaa na kuongea nae yote hayo duh hongera koku umsikilize baba jaman. utabarikiwa daima.
 
Waraka mzuri sana
Aise mkuu naomba ruhusa yako niucopy na kuuhifadhi nitampa mwanangu siku akishajua tuu kusoma
Akue akiwa anaelewa hayo
Asante sana mkuu
 
Waraka mzuri sana
Aise mkuu naomba ruhusa yako niucopy na kuuhifadhi nitampa mwanangu siku akishajua tuu kusoma
Akue akiwa anaelewa hayo
Asante sana mkuu
ruksa Mkuu,we print kwa sana tu.
 
ruksa Mkuu,we print kwa sana tu.

Asante sana Mkuu
Ni jambo zuri kumwambia mwanao ukweli kuliko kumficha ficha mambo atakayokutana nayo maana yote yanajulikana na yapo kwenye maisha atakayokutana nayo
Wazazi tumekuwa na tabia ya kukimbia majukumu au kuwakimbia watoto wetu au kukimbia maswali ya watoto wetu kwa kusema kuwa ni maswali yasiyojibika au ya mambo ya siri
Hakuna jambo ambalo kwa sasa ni la siri tena wanayaona na wanataka ufahamu
Uwe na muda kama mzazi kumweleza mwanao siri za maisha na ni mambo gani atakutana nayo katika maisha yake na magumu atakayokutana nayo
 
we acha tu nuru imeniangazia ikaniambia haya mambo ya 'sisi wanaume bana' (source:Aspirin) niachane nayo nianze ku play fair.Tatizo kuna watu humu wameanza kufikiri mi mdada,du!
Washindwe na walegee, kamwe usikubali wakurudishe nyuma. Wanakukubali kimtindo sema ndo hivyo tena wamekamatwa na anasa za dunia. Mungu yupo upande wako usijali..
 
Asante sana Mkuu
Ni jambo zuri kumwambia mwanao ukweli kuliko kumficha ficha mambo atakayokutana nayo maana yote yanajulikana na yapo kwenye maisha atakayokutana nayo
Wazazi tumekuwa na tabia ya kukimbia majukumu au kuwakimbia watoto wetu au kukimbia maswali ya watoto wetu kwa kusema kuwa ni maswali yasiyojibika au ya mambo ya siri
Hakuna jambo ambalo kwa sasa ni la siri tena wanayaona na wanataka ufahamu
Uwe na muda kama mzazi kumweleza mwanao siri za maisha na ni mambo gani atakutana nayo katika maisha yake na magumu atakayokutana nayo
ndugu yangu malezi yetu na ya sasa tofauti,wanetu hata uwafiche watayajua tu maana yamewazunguka iwe kupitia fm stations,tv,mobile phones au internet,hivyo ni bora myajadili tu.
 
Jana aliopoa kimwana akaenda nae kwenye zile G'house za bei chee, nahisi ameng'ang'aniwa huko, ngoja nimpigie kuwa pamekucha aamke... Atalijenga taifa sa ngapi jamani?
wala usikonde,ameonekana Namnani gest sinza na na mdada mmoja memba wa mmu,oooooops sorry i did'nt mean to tell you really!
 
Back
Top Bottom