Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natamani kumuona huyu koku!!
we acha tu nuru imeniangazia ikaniambia haya mambo ya 'sisi wanaume bana' (source:Aspirin) niachane nayo nianze ku play fair.Tatizo kuna watu humu wameanza kufikiri mi mdada,du!Mie siku hizi nafuata nyayo zako tu Bishanga manake nahisi umeshukiwa na roho mtakatifu, mungu azidi kukuongoza kwa yale yaliyo mema!
mmmmhhhh! usintie presha Jully tafadhali.
King'asti ndo fundi wa mapanga shaa?
ruksa Mkuu,we print kwa sana tu.
umenionea wapi TF? yuko mitaa gani?
Washindwe na walegee, kamwe usikubali wakurudishe nyuma. Wanakukubali kimtindo sema ndo hivyo tena wamekamatwa na anasa za dunia. Mungu yupo upande wako usijali..we acha tu nuru imeniangazia ikaniambia haya mambo ya 'sisi wanaume bana' (source:Aspirin) niachane nayo nianze ku play fair.Tatizo kuna watu humu wameanza kufikiri mi mdada,du!
Jana aliopoa kimwana akaenda nae kwenye zile G'house za bei chee, nahisi ameng'ang'aniwa huko, ngoja nimpigie kuwa pamekucha aamke... Atalijenga taifa sa ngapi jamani?umenionea wapi TF? yuko mitaa gani?
ndugu yangu malezi yetu na ya sasa tofauti,wanetu hata uwafiche watayajua tu maana yamewazunguka iwe kupitia fm stations,tv,mobile phones au internet,hivyo ni bora myajadili tu.Asante sana Mkuu
Ni jambo zuri kumwambia mwanao ukweli kuliko kumficha ficha mambo atakayokutana nayo maana yote yanajulikana na yapo kwenye maisha atakayokutana nayo
Wazazi tumekuwa na tabia ya kukimbia majukumu au kuwakimbia watoto wetu au kukimbia maswali ya watoto wetu kwa kusema kuwa ni maswali yasiyojibika au ya mambo ya siri
Hakuna jambo ambalo kwa sasa ni la siri tena wanayaona na wanataka ufahamu
Uwe na muda kama mzazi kumweleza mwanao siri za maisha na ni mambo gani atakutana nayo katika maisha yake na magumu atakayokutana nayo
wala usikonde,ameonekana Namnani gest sinza na na mdada mmoja memba wa mmu,oooooops sorry i did'nt mean to tell you really!Jana aliopoa kimwana akaenda nae kwenye zile G'house za bei chee, nahisi ameng'ang'aniwa huko, ngoja nimpigie kuwa pamekucha aamke... Atalijenga taifa sa ngapi jamani?