denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Umeandika "pure" ushabiki.Hakuna shabiki wa Yanga mwenye akili timamu, anaweza kuiheshimu TFF ya Wallace Karia! TFF iliyojaa double standard, na inayotumia nguvu kubwa kuwanyamazisha wale wote wenye mtazamo tofauti na huyo Karia.
Kuhusu mamlaka ya nchi, hilo halina shaka yoyote ile. Ila siyo hii TFF ya Msomali na ambaye ni kada wa ccm! Shabiki na mwanachama wa Coastal Union ya Tanga, na simba ya Dar es salaam.
Karia kuwa Simba SC ndio amuache Manara anaharibu tu?
Hii mentality ya ajabu kutumia timu anayoipenda kiongozi wa mpira kama defence kwenu pale mnapoharibu, ndio mnaonesha vile angekuwa kiongozi wa mpira ambaye ni shabiki wa Yanga yenu, mngemtumia ili awalinde wajinga wenu wa sampuli ya Manara.
Kumnyamazia Manara ni muhimu sana kwa maendeleo ya soka la nchi hii.