Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

Umeandika "pure" ushabiki.

Karia kuwa Simba SC ndio amuache Manara anaharibu tu?

Hii mentality ya ajabu kutumia timu anayoipenda kiongozi wa mpira kama defence kwenu pale mnapoharibu, ndio mnaonesha vile angekuwa kiongozi wa mpira ambaye ni shabiki wa Yanga yenu, mngemtumia ili awalinde wajinga wenu wa sampuli ya Manara.

Kumnyamazia Manara ni muhimu sana kwa maendeleo ya soka la nchi hii.
 
Haipo hio barua hawa jamaa hua wanawashwa kama malaya
 
Unaweza kuwa uko sahihi ila nadhani wameamua kurudi nyuma kutoka kwenye kuivimbia serikali.
 
Hakuna kitu hapo ni jitu limeshiba maharage huko limekuja na huo upuuzi
 
Karia anakutesa mnooo, maskini weee hadi nakuonea huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], relaaaaaaaxxxx, karia bado yupo sanaaaa, km unasubiri atoke, bas utandike jamvi ukae.

Byuti byuti
 
Haji Manara anasema huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu
 
Haji Manara anasema huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu
Haishangazi baadhi yenu kuitwa mbumbumbu na mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage!

Mngekuwa siyo mbumbumbu, basi mngeyapuuza hayo maneno ya huyo mropokaji wenu wa zamani.
 
Haishangazi baadhi yenu kuitwa mbumbumbu na mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage!

Mngekuwa siyo mbumbumbu, basi mngeyapuuza hayo maneno ya mropokaji wenu wa zamani.
Tungeyapuuza lakini matendo na maneno yenu yanathibitisha usahihi wa kauli hizo,si unajua hata saa mbovu kuna muda inapatia majira.
 
Uongo unakusadia nini barua ya Feb 19 kipindi kile kuna vurugu za uamuzi umeileta leo ilmradi tu uongo wako upate support
Nimeongea uongo gani? Uongozi haukuandika mashabiki Yanga waziheshimu mamlaka hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…