...''nimesoma waraka wote na details zake ni chuki na unafiki kupita kiasi kwa nchi yetu''-Tumaini
Tumaini tunaomba huo waraka uuweke hapa mkuu, tunakuomba sana
Ntafanya hivyo kwa muda wangu lakini si kwa shikizo lako ndugu..nimeweza kukubali la mambo ya dini tu kwa kuheshimu dini yako finito, hizo zingine ntaweka kwa wakati wangu..lakini huo ndio ukweli
endelea kulia kulia kutetea kanisa lako ovu shame on you.
uISLAMU NI mZIGO MZITO SANA,.
nimeedit hayo maneno , and i leave as u kindly requeted me to do so.Kindly, leave islam away from this this is between Tumaini and us, we need that document.
!
nimeedit hayo maneno , and i leave as u kindly requeted me to do so.
Hata kama uki edit maneno, tunajua unayoyafikiri kuhusu waislamu ambayo unaongea chumbani ni makubwa zaidi??
Lakini Jinyonge wewe huwezi kufanya chochote uislamu na waislamu "empire" nyingi sana tangu zamani zilitamani kuumaliza uislamu ..wakashindwa, watashindwa na wewe utakufa na chuki zako uislamu una meremeta zaidi.
Chaguo la watanzania wengi kwako ww jipe moyo tu na kumfurahisha JK.hana lolote nchi uozo tu amumie sana shehe yahaya maana ndo nyau wake aachane NA wakatoliki wa watu.hata ww upo kwenye system ndiyo maana unakukuruka tu NA JK.
Tumaini kwani adui wa Waislamu ni PENGO na Wakatoliki, mimi nafikiri adui wa WAISLAMU TANZANIA ni namna wanavyojichukulia na kuyaona maisha huku wakisahau Historia yao. mara nyingi tunadhani ama kufikiri kuwa Wakristo wanawagandamiza waislamu, threads nyingi zinaonyesha kwamba matatizo ya UISLAMU tz NI Ukristo....kwani Uislamu hauwezi kushine bila kuutusu na kuwatusi WAKRISTO....Tumain si haki rafiki yangu.Hao hawana lolote pesa kidogo kwa "Pengo" kwisha habari anatangaza kwamba JK chaguo la Mungu ..subiri uchaguzi utasikia kauli zake...na wanakondoo wanafuata kauli yake kama kawaida 80% ushindi..mtalia lia mwaka huu..
Supported; kweli sauti ya wengi ni ya Mungu? why are you quoting this lame quotes, kwa sababu walisema warumi??. Wapiga kura walikuwa wangapi ukicompare na population ya watanzania?
Lengo langu sio kusema wakatoliki hapa, dont take me wrong, hat aliyekuwa askofu wangu Mozes Kulola wa EAGT naye alisema the very same words
Ndege ya uchumi alinilazimisha nitoe hizo links, however hajakosea kuomba hizo links.
Bottom line ni kuwa nilitaka Tumaini aamini na kujua kuwa Kikwete ambaye ni mwislam bado alipendwa na anapendwa na wakristo wengi, nikamtolea mfano kuwa kati ya waliosema JK ni chaguo la Mungu wako baadhi ya wakatoliki. Tumaini anataka kutuaminisha kuwa kuna waraka wa kikatoliki unaopinga waislamu kukaa madarakani, which is a big lie!!!
wakristo siku zote wamewapenda na kuwaheshimu waislam since then; waislam walio wengi wana inferiority complex! and this cause a lots of problems!
Kweli kabisa kauli ya askofu mmoja au mkristo mmoja isichukuliwe kama ni ya watu wote, I do agree with you.
Kama nilivyoeleza hapo juu intention ya kueleza haya ni kumwonyesha Tumaini kuwa ni mwongo na mnafiki, christians from different denominations they like muslims! na hao waliosema JK ni chaguo la Mungu wanatosha kumpa elimu kuwa wakatoliki hawan ajenda za siri nchi hii.
Kuhusu kusema kuwa askofu aliteleza kusema ni chaguo la Mungu I do agree with you. Hata hili nililipiga sana vita magazeti ya kikristo. JK and EL at that time waliwapagawisha watanzania kupitia vyombo vya habari, wachungaji hawakuomba na wakafuata mkumbo na kutoa comment ambazo leo wanazijutia.
We need to pray hard before electing leaders; kumtangaza na kusema fulani ni chaguo la Mungu kabla ya uchaguzi na kwenye uchaguzi wa vyama vingi this alone is not God's wisdom!!

Tumaini kwani adui wa Waislamu ni PENGO na Wakatoliki, mimi nafikiri adui wa WAISLAMU TANZANIA ni namna wanavyojichukulia na kuyaona maisha huku wakisahau Historia yao. mara nyingi tunadhani ama kufikiri kuwa Wakristo wanawagandamiza waislamu, threads nyingi zinaonyesha kwamba matatizo ya UISLAMU tz NI Ukristo....kwani Uislamu hauwezi kushine bila kuutusu na kuwatusi WAKRISTO....Tumain si haki rafiki yangu.
That is purely due to inferiority complex. Niambie shule nzuri ya kiislam inayofanya vizuri katika mitihani ya kuanzia o-level to a-level;hamna, whose problem is that? christian?
Ma awal- Tanga
Kinondoni Muslim-Dar
Almuntazir-Dar
.
.
.
Waberoya aliposema shule nzuri za kiislam hakuwa na maana ya uzuri wa majengo ni ubora wa elimu inayotolewa na matokeo mazuri, mfano St. Francis ya Mbeya , Loyola, St. Antony, Marian ya Bagamoyo, etc ni shule zinazoongoza si kwa majengo bali kwa matokeo mazuri na ukiangalia nyingi kama si zote ziko chini ya imani gani?.
shule zinazoongoza si kwa majengo bali kwa matokeo mazuri na ukiangalia nyingi kama si zote ziko chini ya imani gani?.
That is purely due to inferiority complex. Niambie shule nzuri ya kiislam inayofanya vizuri katika mitihani ya kuanzia o-level to a-level;hamna, whose problem is that? christian?
Kuna waislam ninawafahamu wanaona aibu kuitwa waislam, they mind their own business na wako mbali katika kila nyanja. waislam waliofeli maisha ndio wananyoosha kidole kwa wakristo, mbaya zaidi wakiongozwa na wasomi wa aina ya Tumain, ambao walitakiwa wawe mbele kugundua cultural and historical effects zilizofanya waislam warudi nyuma.waarabu walichukua watumwa na kuleta misikiti, wahindi walileta biashara na kujenga mashule, wamisionari walijenga shule, hospitali na makanisa na kupitia wao wakatuibia mali zetu, this is historizal facts! it was difficult kwa waliolelewa kiislam kusoma misheni!, waliosoma misheni leo ni maprofessa wazuri na still wana dini zao za kiislam!!!
karne ya sasa haimtambui mtu wa dini yoyote inatambua competence, so when some islams are busy on blaming christians , christions and some other islams are busy on building competence!
kwa hiyo unagundua kizazi hii cha kulalamika,they will be slave forever, maana survival of fittest rules haichagui dini.
tatizo la Waislamu ni kutopambana kujikwamua na kuendelea kupiga kelekele na kutafuta huruma na zidi zaidi kufuga madevu na majini .....kukaa na kudhani kuwa mwalimu aliwaonea ni upuuzi, hakukua na wasomi na hakukua na mkakati miongoni mwenu/waislamu kupigana kufuta ujinga zaidi kulialia.Zingine ni blah blah ambazo hazina maana kwa ambao tuna data za jinsi Nyerere systematically alivyowabagua wabagua waislamu kwenye elimu tanzania for 23 years shame on him...lakini sasa tunaenda vizuri tu.
Mkuu wangu Facts1 nimemsoma sana waberoya na ndiyo maana nikatoa na Link kwenye post iliyofuata ili Tumaini aone
Wabe atakuwa amenisoma
Ziko chini ya Jina lipitalo Majina yote
tatizo la Waislamu ni kutopambana kujikwamua na kuendelea kupiga kelekele na kutafuta huruma na zidi zaidi kufuga madevu na majini .....kukaa na kudhani kuwa mwalimu aliwaonea ni upuuzi, hakukua na wasomi na hakukua na mkakati miongoni mwenu/waislamu kupigana kufuta ujinga zaidi kulialia.
sehemu ya familia yangu ni Waislamu, na wote wamebaki kuwa duni , wanasubiri misaada ya vitu vidogo vidogo, na ndio maana migogoro mingi ya Waislamu ni vitu vitokanavyo na wivu na husda dhidi ya maendeleo ya jamii isio ya kiislamu, kuwa Muislamu tayari ni tatizo, kuishi na Uislamu ni tatizo zaidi, kuswali swala tano ni tatizo zaidi. kwa kadri wanakua washika dini ndivyo wanavyokua wagomvi zaidi, naona aibu kua na Undugu wa damu na hawa waislamu.