Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
Mgonjwa gani wa UKIMWI anatunzwa na ndugu?
Ni heri kugongwa nikakata moto hapohapo nitakufa na histora njema na siyo kuwapa mzigo ndugu zangu kutunza malehemu mtalajiwa nyumbani kwa uzembe wake usio na maana.