Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

Sababu ya vyakula vyao ndo maana wanaigeria maji mengi. Ukiyalamba ni pilipili tup
Tuliofika nigeria tumeanza kujuana..
Ukienda nigeria kule lagos kuna sehemu inaitwa victoria island, aisee kuna night club kama sato ziwa victoria..halafu patamu kweli.
 
Hapa mnanichanganya kabla sijafanya maamuzi, mkuu hapo juu anasema hawakatai na weye unasema wagumu.. nabaki njia panda
Wakenya wakijua we ni mbongo uwezakano wa kupewa utelezi ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom