Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 13, 2025 #61 figganigga said: Kwahiyo wanaokufa ni wakenya tu? Click to expand... Hata wakiwa Watz siyo mbaya ni ujinga wao!
figganigga said: Kwahiyo wanaokufa ni wakenya tu? Click to expand... Hata wakiwa Watz siyo mbaya ni ujinga wao!
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,602 Reaction score 6,274 Nov 13, 2025 #62 figganigga said: Sababu ya vyakula vyao ndo maana wanaigeria maji mengi. Ukiyalamba ni pilipili tup Click to expand... Tuliofika nigeria tumeanza kujuana.. Ukienda nigeria kule lagos kuna sehemu inaitwa victoria island, aisee kuna night club kama sato ziwa victoria..halafu patamu kweli.
figganigga said: Sababu ya vyakula vyao ndo maana wanaigeria maji mengi. Ukiyalamba ni pilipili tup Click to expand... Tuliofika nigeria tumeanza kujuana.. Ukienda nigeria kule lagos kuna sehemu inaitwa victoria island, aisee kuna night club kama sato ziwa victoria..halafu patamu kweli.
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,534 Reaction score 11,445 Nov 14, 2025 #63 TheSeer said: Hapa mnanichanganya kabla sijafanya maamuzi, mkuu hapo juu anasema hawakatai na weye unasema wagumu.. nabaki njia panda Click to expand... Wakenya wakijua we ni mbongo uwezakano wa kupewa utelezi ni mkubwa sana
TheSeer said: Hapa mnanichanganya kabla sijafanya maamuzi, mkuu hapo juu anasema hawakatai na weye unasema wagumu.. nabaki njia panda Click to expand... Wakenya wakijua we ni mbongo uwezakano wa kupewa utelezi ni mkubwa sana