Wardrobe ya Nama mbona wakati mwingine inakosa standards!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini?
Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen party!
Mjue kwamba mama ni kioo cha watanzania wote.
Ref Daily News front page.
 
Hivi Mh. Rais anaruhusiwa kuvaa Niqab? Kama ndivyo mara moja moja awe anatokelezea kininja.
 
Mama kapendeza sana na vizuri sana kama ilivyo kawaida yake kupendeza na kuvaa nguo zenye kuakisi nafasi ya Urais. Kwa hakika anatuheshimisha sana katika anga la kimataifa.
 
nyie wapokezi wa wageni hapa bongo..mumeona jinsi marais wanavyopokelewa huko nchi za wenzetu wanapowasili..sio nyie kila mgeni akija nchini eti mmekariri lazima mgeni apokelewe kwa vikundi vya ngoma na maigizo na vibwebwe vingi.. hizo mambo ni outdated sasa badilikeni tatizo vitengo vya mapokezi vimeshikwa na wazee na miongozo yao ni ile ya miaka ya 70-80..hawana jipya
 
Nami nilijua kaenda zbar likizo fupi kumbe nje nchi mmmm kapuyanga
 
Sio wazee, vinasimamiwa na wajinga..akili zao zina udumavu.
 
📌📌📌Badala ya kuulizia ziara hiyo inawaezaje kugeuzwa fursa au imezalisha matunda yapi kwa ziara hiyo.Mtu kabisa anaanza kukadili nguo alizovaa mtu😣😣😣.

Anyways once a shithole country always will be!!!
 
Mimi mradi yale matapeli yaliokuwa yananyanyanganya watu pesa na kutesa wengine yamefungiwa ndani ..... Na mengine yamejifia wacha avae anavyotaka
 
📌📌📌Badala ya kuulizia ziara hiyo inawaezaje kugeuzwa fursa au imezalisha matunda yapi kwa ziara hiyo.Mtu kabisa anaanza kukadili nguo alizovaa mtu😣😣😣.

Anyways once a shithole country always will be!!!
Wewe ulivaa nepi siku ya harusi yako!
Huna viwango kabisa.
 
Ila shemeji naye bwana! Wakati mwingine anazingua! Anatuleti down sana mimi na bro wangu Hafidhi!
 
Tangu uanze kumshabikia Giggy Money, sishangai usipopenda mavazi kama haya
 
Ndio kitu namwabiaga Mdakuzi
Zile ngoma huwa naona aibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…